kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
If you allowed her to go through University,let the university go through her!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ukiwa na Mke aliyejaaliwa na mnyazi lazima uwe na kibarua cha ziada..na bado bosi ofisini anamngojea, aisee, bado akienda siasani kuna kina nchemba huko, akifika jimboni Maprofessa mapuya ndo usiseme, ee Mola.. Ukisema ushtaki kwa mkuu wa Kitivo ndo walewale, mkuu wa chuo ndo kwanzaa atagain interest kwa mkeo.. mie nina ushauri. ama uchukue A au B.hutaki unaacha..naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
ukiwa na Mke aliyejaaliwa na mnyazi lazima uwe na kibarua cha ziada..na bado bosi ofisini anamngojea, aisee, bado akienda siasani kuna kina nchemba huko, akifika jimboni Maprofessa mapuya ndo usiseme, ee Mola.. Ukisema ushtaki kwa mkuu wa Kitivo ndo walewale, mkuu wa chuo ndo kwanzaa atagain interest kwa mkeo.. mie nina ushauri. ama uchukue A au B.hutaki unaacha..
A:- take Advantages kwa weakness za maadui wako. huna haja kupambana na huyo mjingaflan kwa maneno, sms au kumshtaki kwa mkulu wake, utazidi kuifanya inshu iwe mbaya zaidi, ndio kila mtu atagain kumtongoza. Wewe Mwambie mkeo ajifanye kumkubalia, mtafute Guest Y, na akiingia kichwakichwa ndipo mpelekee media ya Nguvu, mapichamnato na mavideo yake. kisha mteke, mwambie Nusu ya mshahara awe anakulipa wewe kwa usumbufu, mbili ahakikishe mkeo anafaulu, tatu atoe cooperation kwako kwa kila utachomtaka afanye.. akikaidi sharti moja tu unamkapuya kwenye media.. nani atakubali achafuliwe , atakuwa mdogo kama piriton na kila sekta atapoletewa undava mkeo unafanya kitega uchumi, mjini hapa..muulize Shogongo anaishije hapa mjini, kajengaje utriams hotel zake.. wajinga ni vyakula vya wajanja..
B. kama huwezi hivyo piga chini wife awe mtu wa home full-stop, navyowafaham wanawake utapasuka kichwa, my friend mkewe alikuwa chuo, na kama kawa elimu hizi za kutafuta shahada ili mshahara uongezeke, kichwa kizito lazima atafute BF huko huko shule ili ampigetafu na yeye anammegea kiaina. mchezo huo akaushtukia lecturer wake, kila akisahihisha paper anakutana na copy and pastle kutoka paper a and b, siku moja kikampanda, akamwita boy na kumpaka kweli yake, the boy hakujivuna akasema dem ni Chakula chake, so cha kufanya yeye anakula huku na yeye lazima aliwe kwa kugawa material. basi yule lecturer akawaita wote wawili, na of course baada ya kutoa vitisho viwili vitatu dem nae akakiri kwamba yule ni Kitu chake so yeye amezee kama mtoto wa kiume shule iende iishe. basi lecturer kiutu uzima akaua soo ile akawaambia wasiendelee na mchezo wao. na inshu yote kumbe lecturer alikuwa PA wa nguvu, aliegesha camera yake pembeni na kudadavua kila kitu.
some two paper and three dem akaona mambo mabaya, akamface lecturer kwamba yuko ready awe anampa mshiko ili at least acopy kwa yule boy, manake yeye anatafute jiwe tu kwa ajili ya mshahara na si vinginevyo. sasa kwa vile alivyokuwa akiongea kwa kujichekesha chekesha na kujishauaflan lecture mzuka si ukapanda, akaanza kuomba tundae.. jambo hilo lilimpa wakati mgumu sana dem, akaona ammwagie BF wake kwamba Lecturer nae anaomba mchezo mara moja tu, anasumbua sana, bora ampe kisha waiteke nchi. BF nae unajua tena wivu wanaume ni kama tumelogwa vile, mtu mwenyewe anaiba mke wa mtu ila bado anaona wivu kile anachoiba kikaibiwa, akachimba biti ya nguvu..' unajua ooo ungempa but yule lecturer ameshaikanyaga MIWAYA, na wewe ukitia maguu tu unakuwa mwana mtandao, na hapo usinijue kabisa. " dem ham ikamwisha, akawa anamzungusha lecture leo kesho hatimae chokonoliko likafika hom..
mwanaume akambana mkewe, akaelezwa ukweli kwamba chuoni kuna mwalimu mmoja anamsumbua sana, yule mwanaume si unajua tena kila mtu akili ni zake, alipanic moja kwa zote akaenda kumfase yule mwalimu na kuanzisha vagi, kisha akaenda kwa dean of student, akaenda kwa Vice na kutema mbovu sana.
mambo yakawa settled a while ila baada ya wiki mbili yule lecture akamtafuta yule mwanaume na kumpatia mkanda ulee akimhoji mwizi wa mke wake na mkewe ofisini. sitaki kusema zaidi ila mpaka sasa mkanda uko parokiani, dem yuko kwao, yule boy katimkia nchi jirani.. twende kaz..
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem