asante umenipa faraja sana ngoja niendelee kuboresha huduma hii
Kumbe chembe chembe nilijua mipandepandeUmeenda jando kweli wewe, yaani unatoa siri ya chumbani na mke wako, nadhani kuna chembe chembe za kiume umezikosa
Mikao gani hiyo Paula...

Habari zenu wadau wa JF
Mimi ni kijana niliye ndani ya ndoa miaka mitatu(3)sasa na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2 mungu ni mwema sana.
Nijiongelee upande wangu kiukweli nampenda sana mke wangu hua najitahidi kumtimizia yale ya msingi ambayo kila mwanamke wa kiafrika/Tanzania anahitaji kutimiziwa (Mavazi, chakula, makazi) na mengine mengi bima ya afya n.k.
Kwa upande wake naona ananipenda tu maana sijaona kama kuna tofauti yoyote kati yake na yangu.
Changamoto inakuja katika SEX/ Mapenzi sijisifii hua nikipanda juu sambamba na style/mikao mengine mke wangu anafika kileleni mpaka anaishiwa nguvu inafika wakati namuonea huruma nahisi ntampoteza mke wangu ilihali mimi bado nahitaji kufanya hii inepelekea hata nipunguze siku za kua tunafanya mapenzi/Sex siku tukifanya bado hali ni ile ile. Kiukweli sijafikiria kuchepuka kabisaa ndo mana nikaamua kuweka uzi huu hapa jukwaani nipate mawili matatu kutoka kwa wataalam/maexpati/wakongwe maana humu ndani kuna wajuzi waliobobea katika idara nyingi mbalimbali.
kwa upole kabisaa niikabidhi mada hii mikononi mwenu Wadau kwa ajiri ya maoni/ushauri
Karibuni sana
Upumbavu mtupuuuHabari zenu wadau wa JF

Hahahaha ,nakuona muveroElimu ni gharama mkuu...kuna shule ada ya mtoto ya mwaka unanunua IST 1 na vitz 1 na chenji inarudi
Oa mke wa pili utakuwa umemaliza tatizo harakaHabari zenu wadau wa JF
Mimi ni kijana niliye ndani ya ndoa miaka mitatu(3)sasa na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2 mungu ni mwema sana.
Nijiongelee upande wangu kiukweli nampenda sana mke wangu hua najitahidi kumtimizia yale ya msingi ambayo kila mwanamke wa kiafrika/Tanzania anahitaji kutimiziwa (Mavazi, chakula, makazi) na mengine mengi bima ya afya n.k.
Kwa upande wake naona ananipenda tu maana sijaona kama kuna tofauti yoyote kati yake na yangu.
Changamoto inakuja katika SEX/ Mapenzi sijisifii hua nikipanda juu sambamba na style/mikao mengine mke wangu anafika kileleni mpaka anaishiwa nguvu inafika wakati namuonea huruma nahisi ntampoteza mke wangu ilihali mimi bado nahitaji kufanya hii inepelekea hata nipunguze siku za kua tunafanya mapenzi/Sex siku tukifanya bado hali ni ile ile. Kiukweli sijafikiria kuchepuka kabisaa ndo mana nikaamua kuweka uzi huu hapa jukwaani nipate mawili matatu kutoka kwa wataalam/maexpati/wakongwe maana humu ndani kuna wajuzi waliobobea katika idara nyingi mbalimbali.
kwa upole kabisaa niikabidhi mada hii mikononi mwenu Wadau kwa ajiri ya maoni/ushauri
Karibuni sana
Nipo mkuu, mambo vp?Hahahaha ,nakuona muvero
Aliyeoa hana akili za kipimbi kama hizi.Habari zenu wadau wa JF

Je umeongea nae ili kubaini tatizo??! Isiwe ni wewe au yeye ndie ana tatizo?!Habari zenu wadau wa JF

Nielimishe tafadhali

Ngoja watoto wakalale kwanzaNielimishe tafadhali![]()
Hata wewe mbona mtoto tu!! HahaNgoja watoto wakalale kwanza