Mke wangu anapenda "kuvunjwa miguu" imekua changamoto kwenye familia yetu

Jumatatu huwa ni siku nzuri ya kuanza kuyafanyia majaribio au kuya-practice yale mambo yote ya kimaendeleo uliyoyawaza kutwa weeknd nzima, changamoto ulizokutana nazo site kwako, shambani kwako, rafiki zako, familia yako n.k , sio siku nzuri ya kuwaza kugegedana.
 
Kwani hiyo miguu unamvuja kila siku eeh? yani hizo nguvu zakuvunjana miguu na huyo mkeo anavyoisikilizia mnge zikusanya mbona maisha mnge yaweza sanaaa..
 
Back
Top Bottom