Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari nyingine.Nikamjibu basi si ukaolewe na jirani ndio kanuna weekend nzima.

Ushauri jamani nimpotezee au nijirudi nimwombe msamaha?
 
Sometimes mke anakwambia hivyo kukupa motisha tu sio kwamba nalalamika wewe chukulia poa tu sio kugombana as long as tabia zake ziko pouwa
 
Sawasawa spensa, akinuna mwambie na ww unakereka vivyo hivyo
 
Subiri mtoto azaliwe utajua maana yake!
 
Ukiona manyoya..............
 
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari nyingine.Nikamjibu basi si ukaolewe na jirani ndio kanuna weekend nzima.

Ushauri jamani nimpotezee au nijirudi nimwombe msamaha?

Tafuta Pesa Mkuu, usimchukie Wife, Anakupatu Changamoto Usikae Kizembe Zembe, heshima ya Mwanaume ni Pesa.
 
Hawa wanawake wengine bhana,sasa kama anamsifia mwenye nacho imekwaje kaolewa na mtu kama wewe
 
Ni njia ya kukufanya ushtuke uwe na wivu wa kimaendeleo.
Changamka umzidi jirani.
 
Back
Top Bottom