Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
Yan umemsomesha??
Mpe hizo sms azisome mbele yako.,then akupe maelezo ana maanisha nn..?Mkuu ulishauziwa mbuzi kwenye gunia , cha msingi mwambie ukweli wa ulioyaona na mpe last warning, tembeza makofi kidgo then endelea nae with intensive care
Hakunipa password bali account nilimfungulia mie na sikuwahi kufatilia...account yake ikasumbua na akawa hana ujanja kabisa ndio akaniambia nimrekebishie na kumbadilishia password ndio hapo hayo yote yakaibuka Mkuu wanguMhh pole asa na yy alikupaje password ya account yake wakati anajua madudu yake?
Pole sana mkuu,Sema na nafsi yako km unaona unaweza kumsamehe msamehe tu inawezekana alikuwa anafanya utani tu huko fb au kafanya kweliHakunipa password bali account nilimfungulia mie na sikuwahi kufatilia...account yake ikasumbua na akawa hana ujanja kabisa ndio akaniambia nimrekebishie na kumbadilishia password ndio hapo hayo yote yakaibuka Mkuu wangu
Inauma cause sijawahi kumsaliti tangu niwe nae ingawa vishawishi vingi lakini najivunia kuwa na Mke kama yeye halafu suddenly nakuja fahamu jambo hilo Inauma kupita maelezo kiongozi
Duuuuh kampanda mwenyewe kwa hiyo sasa hivi ameshushwa na wengine wanapandishwa,Mulhat acha hizoo,vipi habari za huko Karatu hawajambo?Ni wako huyooooo umempanda mwenyewee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
madem wa kimbulu kugawa mbunye kirahis ni nature yao so ht amsamehe mara 700 tabia yake itabak vile vile labda ungemshauri amvumilie tuu
btw ai mis yu
Poleh payback time ulivochezea watoto wa watu ukadhani utachomoa kwa mkeo?Evelyn kinachoniuma ni kwamba before sijakutana nae nilikuwa Malaya mbwa ila nlipokutana nae nikajua roho mtakatifu kanigusa na nikabadilika kabisa, nikiwaza hapa atakuwa ameshanisaliti mara ngapi mpaka hivi leo? Kazi yangu yenyewe ni mikoani mara kwa mara naweza kaa mkoani hadi miezi mitatu kama project ni ndefu kiaina...hapo Kati atakuwa ameshakung'utwa vya kutosha, kama Facebook anajirahisi kiasi hichi vipi vijana wa hapa mtaani? Naweza kuwa nasalimiana na vijana wenzangu mtaani kumbe wananicheka wanavyonimegea mke wangu, sijui naanzia wapi kuongea nae, Nina hasira za karibu na sijawahi mpiga hata siku moja, nahisi Naweza fanya kitu cha ajabu....kichwa kinaniuma vibaya hapa
Wanaume are the most selfish ikija kwenye swala la uaminifu, wengi wao ni wahuni hujapata ona yet they want a faithful angel at home, bad enough they mistreat her sometimes,mnadhani ana moyo wa chuma??she will cheat too akipata nafasuMarried
Siwezi kuvunja ndoa kisa mme wangu kamfanya mtu huko.... May be nichoke na mfululizo wa makolokocho kibao ila sio hicho tu
Watu wana cheat bana huu ndo ukweli, wengine wanafanyia humo humo ndani mnapolala ukijua inauma, ni kujipa muda tu na kusemahe
Inahitaji pia highest level of uvumilivu
For the sake of my son sahivi hata iweje siondoki wala sivunji ndoa sipo tayari kumuona mwanangu akilelewa na mama wa kambo wala sipo tayari apate mdogo ake kutoka kwa baba mwingine nooo
Ngoja nisiongee sana mme wangu akafanya yake nibaki nalia tu kamasi zinitoke ha ha ha ha ha
Ila nasisitiza kusalitiwa kupo sana tuuu ukimuacha mwenzio kisa kakusaliti hata utakaempata atakusaliti tuuu