Punguza hasira kwanza then uongee nae mayb ni mambo ya mtandao tu...Evelyn kinachoniuma ni kwamba before sijakutana nae nilikuwa Malaya mbwa ila nlipokutana nae nikajua roho mtakatifu kanigusa na nikabadilika kabisa, nikiwaza hapa atakuwa ameshanisaliti mara ngapi mpaka hivi leo? Kazi yangu yenyewe ni mikoani mara kwa mara naweza kaa mkoani hadi miezi mitatu kama project ni ndefu kiaina...hapo Kati atakuwa ameshakung'utwa vya kutosha, kama Facebook anajirahisi kiasi hichi vipi vijana wa hapa mtaani? Naweza kuwa nasalimiana na vijana wenzangu mtaani kumbe wananicheka wanavyonimegea mke wangu, sijui naanzia wapi kuongea nae, Nina hasira za karibu na sijawahi mpiga hata siku moja, nahisi Naweza fanya kitu cha ajabu....kichwa kinaniuma vibaya hapa
MarriedOption ya kwanza to me is preferred! Evelyn are you married? Can you take the second option. Anyway, kwa wanawake mnakutana nayo sana mume kuwa na hawala nje wachache wanaondokaga na kuvunja ndoa! Kwa mwanamume Mh!!!!!!!!!
Ha ha ha ha ha subiri nae roho mtakatifu amuingie sasa... Mbona unakua mbinafsi lolEvelyn kinachoniuma ni kwamba before sijakutana nae nilikuwa Malaya mbwa ila nlipokutana nae nikajua roho mtakatifu kanigusa na nikabadilika kabisa, nikiwaza hapa atakuwa ameshanisaliti mara ngapi mpaka hivi leo? Kazi yangu yenyewe ni mikoani mara kwa mara naweza kaa mkoani hadi miezi mitatu kama project ni ndefu kiaina...hapo Kati atakuwa ameshakung'utwa vya kutosha, kama Facebook anajirahisi kiasi hichi vipi vijana wa hapa mtaani? Naweza kuwa nasalimiana na vijana wenzangu mtaani kumbe wananicheka wanavyonimegea mke wangu, sijui naanzia wapi kuongea nae, Nina hasira za karibu na sijawahi mpiga hata siku moja, nahisi Naweza fanya kitu cha ajabu....kichwa kinaniuma vibaya hapa
Mkuu nashukuru kwa mchango wako mzuri...Nina kaka yangu mkubwa alisota miaka ile kusoma, alipomaliza Azania akapigana mpaka akapata ufadhili kusoma degree India. Akarudi Mwaka 1998 akaajiriwa akawa njema, akaacha kazi Mwaka 2004 akafungua kampuni yake ya engineering maana ndio alichosomea, Mwaka 2006 akaoa mwanamke aliyezaa nae alikuwa chotara baba muingereza mama mgogo..ndoa ikaenda kumbe mwanamke kiwembe akamletea ukimwi ndani...mshtuko ule bro akaanza kutumia dawa na ushauri toka kwa wataalamu.. 2012 akaingia kanisa la wachungaji uchwara waliodai wanaponya ukimwi kwa jina la Yesu, wakamshauri aache dozi wapige maombi ugonjwa upotee...tumemzika 2014 na hustle zake, elimu yake, kila kitu simply ngoma. Nikiwaza hayo nazidi kuumwa kichwa maana naogopa sana huo ugonjwa especially mtoto wangu bado mdogo na sijamuandalia msingi mzuri wa maisha mpaka ukubwani iwapo nikifa leo ndio maana naumwa na kichwaMarried
Siwezi kuvunja ndoa kisa mme wangu kamfanya mtu huko.... May be nichoke na mfululizo wa makolokocho kibao ila sio hicho tu
Watu wana cheat bana huu ndo ukweli, wengine wanafanyia humo humo ndani mnapolala ukijua inauma, ni kujipa muda tu na kusemahe
Inahitaji pia highest level of uvumilivu
For the sake of my son sahivi hata iweje siondoki wala sivunji ndoa sipo tayari kumuona mwanangu akilelewa na mama wa kambo wala sipo tayari apate mdogo ake kutoka kwa baba mwingine nooo
Ngoja nisiongee sana mme wangu akafanya yake nibaki nalia tu kamasi zinitoke ha ha ha ha ha
Ila nasisitiza kusalitiwa kupo sana tuuu ukimuacha mwenzio kisa kakusaliti hata utakaempata atakusaliti tuuu
madem wa kimbulu kugawa mbunye kirahis ni nature yao so ht amsamehe mara 700 tabia yake itabak vile vile labda ungemshauri amvumilie tuuPole ya kawaida hayo, ongea nae delete hiyo account Facebook, jipe muda maumivu yapungue msamehe maisha yaendelee.....
Pole sana kwa kufiwa.... Apumzike kw AmaniMkuu nashukuru kwa mchango wako mzuri...Nina kaka yangu mkubwa alisota miaka ile kusoma, alipomaliza Azania akapigana mpaka akapata ufadhili kusoma degree India. Akarudi Mwaka 1998 akaajiriwa akawa njema, akaacha kazi Mwaka 2004 akafungua kampuni yake ya engineering maana ndio alichosomea, Mwaka 2006 akaoa mwanamke aliyezaa nae alikuwa chotara baba muingereza mama mgogo..ndoa ikaenda kumbe mwanamke kiwembe akamletea ukimwi ndani...mshtuko ule bro akaanza kutumia dawa na ushauri toka kwa wataalamu.. 2012 akaingia kanisa la wachungaji uchwara waliodai wanaponya ukimwi kwa jina la Yesu, wakamshauri aache dozi wapige maombi ugonjwa upotee...tumemzika 2014 na hustle zake, elimu yake, kila kitu simply ngoma. Nikiwaza hayo nazidi kuumwa kichwa maana naogopa sana huo ugonjwa especially mtoto wangu bado mdogo na sijamuandalia msingi mzuri wa maisha mpaka ukubwani iwapo nikifa leo ndio maana naumwa na kichwa
Hiyo stereotypemadem wa kimbulu kugawa mbunye kirahis ni nature yao so ht amsamehe mara 700 tabia yake itabak vile vile labda ungemshauri amvumilie tuu
btw ai mis yu
Kipindi hicho bado hatujajua bro ana ngoma maana aliifanya siri sana mpaka 2013 ndio anakuja kuweka wazi baada ya kuingia makanisa uchwara...hahahahhaha eti unifariji, mfariji mumeo mie nina mastres yangu hapa hata kazi haziendi nimeegemea kit I nachat tu na kusikiliza miziki nipoteze mawazo maanaPole sana kwa kufiwa.... Apumzike kw Amani
Sasa kama unaogopa ngoma mbona umesema ulikua mabaya mbwa teh
Najua maumivu uliyonayo, pole pimeni na afya jipe muda maumivu yapungue tu umsamehe
Au nikufariji fariji kipindi hiki? 😀
Duuuuuh hatari....Mawasiliano ya mitandao ya kijamii siyo halisia wengi wanaigiza na kupritend ila tatizo akitokea mwanaumme mwenye kijiuwezo, aliyegundua madhaifu ya mkeo, ni lazima tu atamgegeda, halafu anayegegedwa atalia kinafiki kujuta kukusaliti huku kayaachia mapaja jamaa linaendelea, mwanamke ni wa kudhibiti hayo mafacebook ya block umpunguzie concentration, nilichat na mke wa mtu ananiambia kama nipo tayari kumjazia mafuta kwenye ki passo chake na kumnunulia kitimoto toroka uje mwili wake wangu, nikapuuzia
Mkuu nazani elimu yake ama msaada wako kwake hauna tija maana yote uliyafanya kwa mapenzi yako haina tofauti nabkutoa sadaka msikitini ama kanisani nakuanza kujadili sadaka zako na hapa sidhani muhimu kuuanika. Hoja ya msingi mkeo kicheche.2009-2011 akafanya mtihani wa form four, 2012 February inshallah akapata matokeo sio mazuri sana wala sio mabaya akaingia certificate ila 28 July akadaka ujauzito, 21 November 2012 ndoa..15/4/2013 akajifungua mtoto wa kike. 2013-2015 Diploma kamaliza Mwaka Jana akapumzika Mwaka huu anaapply degree, mtoto wetu ana miaka mitatu now...nikutaarifu tu huyu binti alijaa vyema nilianza kumsomesha QT January kabla sijapata jibu kuwa ni demu wangu kisha April 2009 ndio akakubali kuwa kwenye uhusiano akiwa anasoma.
Kubali nikufariji, upo wapi kwanza nije hapo ofisiniKipindi hicho bado hatujajua bro ana ngoma maana aliifanya siri sana mpaka 2013 ndio anakuja kuweka wazi baada ya kuingia makanisa uchwara...hahahahhaha eti unifariji, mfariji mumeo mie nina mastres yangu hapa hata kazi haziendi nimeegemea kit I nachat tu na kusikiliza miziki nipoteze mawazo maana
Mkuu nazani elimu yake ama msaada wako kwake hauna tija maana yote uliyafanya kwa mapenzi yako haina tofauti nabkutoa sadaka msikitini ama kanisani nakuanza kujadili sadaka zako na hapa sidhani muhimu kuuanika. Hoja ya msingi mkeo kicheche.2009-2011 akafanya mtihani wa form four, 2012 February inshallah akapata matokeo sio mazuri sana wala sio mabaya akaingia certificate ila 28 July akadaka ujauzito, 21 November 2012 ndoa..15/4/2013 akajifungua mtoto wa kike. 2013-2015 Diploma kamaliza Mwaka Jana akapumzika Mwaka huu anaapply degree, mtoto wetu ana miaka mitatu now...nikutaarifu tu huyu binti alijaa vyema nilianza kumsomesha QT January kabla sijapata jibu kuwa ni demu wangu kisha April 2009 ndio akakubali kuwa kwenye uhusiano akiwa anasoma.
mkuu hujaona kama anatoa mpaka namba?apo napo anapoteza mda tu?Unaweza kuta hajawahi toka nje ya ndoa ila ni tabia tu za wengi pindi anapoingia kwenye mitandao na kuanza kuchat na kila mtu ilimradi anapoteza mda tu.
Wengi wa binadamu sasa unaweza mkuta anachat na mphilipino huko Manila na hata ndege hajawahi panda lakini kakazana tu.
Sio wote wanafanya kweli ila huenda amekuwa bored inabidi uwe unamtoa out (kama hamtoki) ili ajisikie.
Utakuta hata wewe unachat na marafiki hewa 1000 lakini in reality hujatembea nao hata wawili katika hao.
Take it easy
Aisee, kiongozi katika vitu ninavyokushauri usifanye ni kumpiga mwanamke kwa vile ametoka nje ya ndoa. Tafuta njia mbadala lakini sio kumpiga mwanamke, unaweza kujikuta ndani ya matatizo makubwa zaidi. Ni bora ujitahidi kutulia na kupunguza hasira ili upate mwafaka mzuri.Evelyn kinachoniuma ni kwamba before sijakutana nae nilikuwa Malaya mbwa ila nlipokutana nae nikajua roho mtakatifu kanigusa na nikabadilika kabisa, nikiwaza hapa atakuwa ameshanisaliti mara ngapi mpaka hivi leo? Kazi yangu yenyewe ni mikoani mara kwa mara naweza kaa mkoani hadi miezi mitatu kama project ni ndefu kiaina...hapo Kati atakuwa ameshakung'utwa vya kutosha, kama Facebook anajirahisi kiasi hichi vipi vijana wa hapa mtaani? Naweza kuwa nasalimiana na vijana wenzangu mtaani kumbe wananicheka wanavyonimegea mke wangu, sijui naanzia wapi kuongea nae, Nina hasira za karibu na sijawahi mpiga hata siku moja, nahisi Naweza fanya kitu cha ajabu....kichwa kinaniuma vibaya hapa