Mke wangu ananiumiza kichwa

Mke wangu ananiumiza kichwa

Tatizo la mkeo ni ELIMU ELIMU ELIMU.

Hizo Elimu za kuunga unga Mara nyingi haziwasaidii saaana mana kwanza kusaidiwa kwingi na vijana.

Kwasababu inaonekana ana ulimbukeni mwingi, mpige kibano cha hatari asirudie tena akirudia cossovo inamhusu.
 
Tatizo la mkeo ni ELIMU ELIMU ELIMU.

Hizo Elimu za kuunga unga Mara nyingi haziwasaidii saaana mana kwanza kusaidiwa kwingi na vijana.

Kwasababu inaonekana ana ulimbukeni mwingi, mpige kibano cha hatari asirudie tena akirudia cossovo inamhusu.
Duuuuh Mkuu tangu nizaliwe sijawahi kupiga mwanamke, nije kupiga leo si nitaanza kusoteshwa polisi mara ustawi wa jamii, sikutegemea mwanamke ambaye nimedumu nae muda mrefu na kujisifia kwa ndugu na rafiki zangu kuwa na mke wa namna hii, Jana kanivua nguo barabarani....natamani hata niondoke kama wiki nikae mbali nae ili akili ikae sawa la sivyo naona dalili ya kuishia kunywa tena pombe leo
 
Mkuu mpaka Sasa nimeshaondoka nyumbani sijamuambia kitu ingawa ananijua vyema ameona imebadilika ghafla, kama nilivyosema najijua Nina hasira za karibu sana hivyo nahisi ningeuliza akanijibu ndivyo sivyo ningesababisha mengine. Nilimpigia Dada yake mkubwa Jana tumepanga kuonana leo, nimueleze ya mdogo wake kisha Dada yake nitamsikiliza ana maoni gani sitaki yafike kwa wazazi maana itakuwa aibu kwake na kwangu pia mambo kama haya
Sawa ila kuondoka sio kutatua tatizo ni bora mkae wenyewe mtatue tatizo na umweleze mkeo maana hapo ni kesi ya fisi unampelekea ngiri
 
Habari za jumatano wanajamvi, bila Shaka mmeamka salama kabisa. Leo nimekuja huku kuomba ushauri maana tangu usiku sijalala kichwa kinawaka moto.
Nimeoa miaka minne ilitopita, kabla ya hapo niliambiwa kabila la mbulu sio la kuoa mie moyo ukawa umenasa hivyo na pete kanisani ikavaliwa. Nimebarikiwa mtoto mmoja wa kike. Mwaka 2011 nilimfungulia account facebook mchumba kabla sijamuoa na nilikuwa namuamini sana.
Tatizo Jana (jumanne nikiwa kazini akaniambia account yake imesumbua halafu injia ndio mie hivyo nikiwa kazini nikalog in kwenye account yake (ikumbukwe tangu nimuunge sijawahi ingia kwenye inbox wala kugusa simu yake) baada ya kumrekebishia tatizo lake nikaona niingie inbox kwa mara ya kwanza.
ukweli mie sinywi pombe lakini Jana nilijikuta naondoka kazini mapema na kwenda kuzimua kichwa. Nimekuta message nyiiiiingi anachat na vijana za ajabu ajabu mara mume wangu nitamuaga naenda kwa ndugu nitakuja kwako, mara mume wangu hayupo halafu nipo kitandani peke yangu baridi Kali, Mara nimetoka kuoga ndio najifuta now, halafu anagawa namba yake ya simu kirahisi kwa kila anayemuomba namba. yaani nusura nianguke ofisini maana mpaka wenzangu wamejua kuna Tatizo ila sijafungua mdomo wangu.
Nimerudi nimemkuta ananichekea yaani sijaongea kitu roho inaniuma vibaya, nahangaika kutoa jasho kwaajili ya kumpendezesha na mtoto wetu ila kaniona boya. Wakati naanza uhusiano nae nilikuta akiwa na elimu ya darasa la saba tu, nikamuendeleza QT na kumfundisha mpaka now ana diploma na October anaingia degree, sijui hata nifanye nini akyamungu inanitesa saaana.
Mkuu. Kama itufundishavyo imani yetu, hata kama angefanya kitu gani kibaya basi adhabu yake ni MSAMAHA tu. Huyo ni mwili mmoja pamoja nawe, kaa nae chini na tatueni hayo matatizo pia kuwa tayari kutoa msamaha wa kweli bila kukumbuka kosa.
 
KUOA AU KUTOKUOA KWANGU KUNA HUSIANAJE NA USHAURI NLIOTOA? KAMA NIMEONGEA VIBAYA NIAMBIE?
Ni vizuri kujua kama mtu ana experience maana kuna kutheorise. Mke anauma na huyu jamaa ana ustahamilivu kusubiri sana kutakuwa kunamuumiza. Hivyo ushauri wako una walakini
 
unasema ulikua malaya mbwa hujui kua ndege wafananao huruka pamojaa
 
  • Thanks
Reactions: nao
unasema ulikua malaya mbwa hujui kua ndege wafananao huruka pamojaa
Inauma cause sijawahi kumsaliti tangu niwe nae ingawa vishawishi vingi lakini najivunia kuwa na Mke kama yeye halafu suddenly nakuja fahamu jambo hilo Inauma kupita maelezo kiongozi
 
Evelyn kinachoniuma ni kwamba before sijakutana nae nilikuwa Malaya mbwa ila nlipokutana nae nikajua roho mtakatifu kanigusa na nikabadilika kabisa, nikiwaza hapa atakuwa ameshanisaliti mara ngapi mpaka hivi leo? Kazi yangu yenyewe ni mikoani mara kwa mara naweza kaa mkoani hadi miezi mitatu kama project ni ndefu kiaina...hapo Kati atakuwa ameshakung'utwa vya kutosha, kama Facebook anajirahisi kiasi hichi vipi vijana wa hapa mtaani? Naweza kuwa nasalimiana na vijana wenzangu mtaani kumbe wananicheka wanavyonimegea mke wangu, sijui naanzia wapi kuongea nae, Nina hasira za karibu na sijawahi mpiga hata siku moja, nahisi Naweza fanya kitu cha ajabu....kichwa kinaniuma vibaya hapa
Pole sana na ukipata upenyo wa mke wa mtu mara nyingi hata ndom hukumbuki. Litafakari zaidi ikiwezekana muulize sababu ya yeye kufanya hayo. Wale walizeheka pamoja na kulea wajukuu wamepitia mengi, lakini hakuna formula moja ya maisha.
 
Mimi nilijua umemfungulia account ata ya CRDB kumbe facebook!!.
Hayo ya account ya CRDB ni kawaida katika ndoa lazima...hizi social media zinapelekea taratibu kuvunja ndoa yangu...tena kuna kijana mmoja alikuwa anachat nae, Mke wangu anamuambia yeye Mke wa mtu chalii anashindilia kwamba kampenda toka moyoni, yaani ningekuwa na uwezo ningeanika messages zote walizokuwa wanachat akyamungu kama hujaoa unaweza kukata tamaa ya kuoa....
 
Mmmm fb hatari sana kule! Watoto wa kike rahis sana kule hasa wa mikoani! Me nimewala sana kwa kuwatumia naul waje dar
 
Pole sana kwa yaliyo kupata.
"Mwanamke mzuri asie na akili ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe "
Kwa maelezo yako hili ni kosa la kwanza" kubwa"kulibaini. Kaa nae mliongee "kinagaubaga"Ni kwa nini limetokea na nini kifanyike ili kuzuia lisijirudie huko mbeleni.
Kama akionekana kujutia kosa lake samehe ili msonge mbele.
 
POLE NDUGU, ILA NLIWAHI SHAURIWA KUWA KAMA HUNA KIFUA KAA MBALI NA SIMU YA MWENZA WAKO, MI NAKUOMBA FANYA YAFUATAYO, TOKA NAYE OUT SIKU MOJA JUS WEWE NA YEYE, IKIWEZEKANA HATA CHUKUA WEEKEND MOJA HOTELINI, WAKATI MNAINJOI EMBU JARIBU KUPELELEZA KAMA KUNA KITU ANA MISS KWAKO, NINI ANATAMANI UONGEZE KATIKA MAPENZI YENU, KAMA VIPO HVYO VITU THEN IN A POLITE WAY JARIBU KUMUULIZA KAMA NDO VINAFANYA ANACHAT UJINGA FB, KAMA HAVIPO JARIBU KUMUULIZA POLITELY WHY ANAFANYA ANAYOYAFANYA, ONGEA NAYE TATUA IN A POLITE WAY MPE ANOTHER CHANCE, NILIWAHI SALITIWA NA MPENZI WANGU NLIUMWA HADI KULAZWA, ALIKUJA AKITUBU NA MSAMAHA ANALIA HADI ALIZIMIA ILA SIKUWA TAYARI, BAADAE NLIJIULIZA HIVI NINGEKUWA NI MIMI NIMEFANYA HILO KOSA SI NINGETAKA KUSAMEHEWA? I BELIEVE INGEHAPPEN KWAKO UNGETAKA NA WEWE KUSAMEHEWA NA MWENZAKO AKUPE FURSA YA KUJIELEZA WHY ULIANGUKA, KAMA YEYE AMECHANGIA AU LAH, NA UPEWE A CHANCE TO MAKE THINGS FRESH.

VICTOR J (MC MTUMISHI)
INSPIRATIONAL AND MOTIVATIONAL SPEAKER/MASTER OF CEREMONY

Mkuu umalaya ni attitude na haihusiani na mazingira,anaweza akawa anatombwa vizuri na mumewe na anapewa kila kitu ambacho mwanamke yeyote anakitaka lkn still akatombwa nje.
 
Hakuna aliyekuuliza hili,lkn mlichukua muda gn kwny uhusiano kabla hamjafunga ndoa?maana kuna formula wazazi wetu walikua wanazifuata na ndo mana wakadumu na sisi hatuzifuati ndo mana ndoa zetu zinakufa mapema.Na hapo waliokutombea sio mtaani tu,na huko chuo alipokua anasoma,bado qt wote wametomba,huyo ni malaya.
 
Hakuna aliyekuuliza hili,lkn mlichukua muda gn kwny uhusiano kabla hamjafunga ndoa?
Nilianza nae uhusiano 2009 kisha miaka mitatu baadae tukaoana lakini tulikuwa tunafahamiana muda mrefu sana kama marafiki kwakuwa Dada yake nilikuwa karibu naye nilikuwa namfundisha biblia pamoja na mdogo wake ndipo ukaribu ukazidi sana na kuzaa uhusiano...mwanzoni Dada yake alioppose sana suala lile ila alipoona nipo serious na mdogo wake ndipo akanipa go ahead na kufanikisha mengi. Sikuwahi kusikia tabia yake mbaya hata Dada yake alikuwa akiniasa sana kwamba mdogo wake hajui wanaume hivyo nisimchezee na kisha kumtelekeza.
 
Back
Top Bottom