Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
Maana hata ukisamehe bdo kumbukumbu haitofutika kichwanHakuna msamaha kwa kosa la usaliti....kwangu mimi,
Maana hata ukisamehe bdo kumbukumbu haitofutika kichwanHakuna msamaha kwa kosa la usaliti....kwangu mimi,
Habari za jumatano wanajamvi, bila shaka mmeamka salama kabisa.
Leo nimekuja huku kuomba ushauri maana tangu usiku sijalala kichwa kinawaka moto.Nimeoa miaka minne ilitopita, kabla ya hapo niliambiwa kabila la Mbulu sio la kuoa mie moyo ukawa umenasa hivyo na pete kanisani ikavaliwa. Nimebarikiwa mtoto mmoja wa kike.
Mwaka 2011 nilimfungulia account facebook mchumba kabla sijamuoa na nilikuwa namuamini sana.Tatizo Jana (Jumanne nikiwa kazini akaniambia account yake imesumbua halafu njia ndio mie hivyo nikiwa kazini nikalog in kwenye account yake (ikumbukwe tangu nimuunge sijawahi ingia kwenye inbox wala kugusa simu yake) baada ya kumrekebishia tatizo lake nikaona niingie inbox kwa mara ya kwanza.
Ukweli mie sinywi pombe lakini Jana nilijikuta naondoka kazini mapema na kwenda kuzimua kichwa. Nimekuta message nyingi anachat na vijana za ajabu ajabu mara mume wangu nitamuaga naenda kwa ndugu nitakuja kwako, mara mume wangu hayupo halafu nipo kitandani peke yangu baridi kali, Mara nimetoka kuoga ndio najifuta now, halafu anagawa namba yake ya simu kirahisi kwa kila anayemuomba namba. Yaani nusura nianguke ofisini maana mpaka wenzangu wamejua kuna tatizo ila sijafungua mdomo wangu.
Nimerudi nimemkuta ananichekea yani sijaongea kitu roho inaniuma vibaya, nahangaika kutoa jasho kwaajili ya kumpendezesha na mtoto wetu ila kaniona boya. Wakati naanza uhusiano nae nilikuta akiwa na elimu ya darasa la saba tu, nikamuendeleza QT na kumfundisha mpaka now ana diploma na October anaingia degree, sijui hata nifanye nini haki ya Mungu inanitesa sana.
Mwanaume yuko radhi aseme pembeni nampenda sana LadyRed ila kuniambia mwenyewe live hasemii ng'oo,how can I know u never tell me??
Mwanamke sio mambo ya hela tu sijui vyakula na mavazi,jenga urafiki na mke wako ujue maisha yake yanaendaje hata ukiwa mbali
Et wengine wanasema democrasia itumike kuanzà kumpleasewanamke hiyo haipo kwa ujinga huokama hii story ni ya kweli pole sana ila nimesoma btn lines kuna sehemu umedanganya umesema ulimkuta darasa la saba ukamuoa na akasoma QT na diploma na kupata mtoto katika kipindi cha miaka minne. Ukiangalia vizuri muda unakinzana na alivyovipata content ya story sina tatizo nayo. Ushauri piga vibao mtimue harudi kwao ili aone ukubwa wa kosa na pia wazazi wake wajue nini binti yao anakosea ili wamfunze. Akiomba radhi msamehe ila atajua wewe huna mzaha. Mambo ya kukaa nae hotelini na kuongea nae kistaarabu achana nayo utaonekana boya na utaendelea kuchapiwa. Onyesha hasira zako na action pia
Muv zinawadanganya hao kwani alipokuwa anamtongoza hakuambiwa nakupenda ndo akakubali sasa yanini kurudia rudia neno hilo hilo wakat anajua hata msingi wa yeye kuolewa ulianzia kwenye neno nakupendaHaya mambo yanatokana na upbringing, msiwalaumu sana wanaume wa kiafrika kwa kukosa caring, walivyokuwa wadogo hawakuona baba na mama zao wakiambiana "nakupenda" au "nisamehe mke wangu".
Mambo mengine watu hushindwa kuji tune ukubwani, laiti kama wangeyaona utotoni, wangejifunza na kuyatumia ukubwani. Mfano mimi na kukua kwangu sikuwahi kumuona baba hata kumchumu mama shavuni, hata mara moja, hivyo ni ngumu sana kufanya hivyo mbele ya watoto saivi.
Nope, I just meant as men we are not used to our wives cheating but we are used to cheating. Its hard when the tables turns aisee...Tofauti yake nini, mwanaume anaingia huku mwanamke anaingiziwa kwapani???
Cheating ni cheating tu umeniangusha leo
Najarib kuhisi maumivu yako mana najua maumivu ya mapenzi.Kukaa kimya bila kumwambia ndo unavojiongezea maumivu.Kaa nae umwambie ulichokiona,akiomba msamaha kutoka moyoni kabsa,msamehe na maisha yaendelee mana hata wew unaweza kumkosea piaHabari za jumatano wanajamvi, bila shaka mmeamka salama kabisa.
Leo nimekuja huku kuomba ushauri maana tangu usiku sijalala kichwa kinawaka moto.Nimeoa miaka minne ilitopita, kabla ya hapo niliambiwa kabila la Mbulu sio la kuoa mie moyo ukawa umenasa hivyo na pete kanisani ikavaliwa. Nimebarikiwa mtoto mmoja wa kike.
Mwaka 2011 nilimfungulia account facebook mchumba kabla sijamuoa na nilikuwa namuamini sana.Tatizo Jana (Jumanne nikiwa kazini akaniambia account yake imesumbua halafu njia ndio mie hivyo nikiwa kazini nikalog in kwenye account yake (ikumbukwe tangu nimuunge sijawahi ingia kwenye inbox wala kugusa simu yake) baada ya kumrekebishia tatizo lake nikaona niingie inbox kwa mara ya kwanza.
Ukweli mie sinywi pombe lakini Jana nilijikuta naondoka kazini mapema na kwenda kuzimua kichwa. Nimekuta message nyingi anachat na vijana za ajabu ajabu mara mume wangu nitamuaga naenda kwa ndugu nitakuja kwako, mara mume wangu hayupo halafu nipo kitandani peke yangu baridi kali, Mara nimetoka kuoga ndio najifuta now, halafu anagawa namba yake ya simu kirahisi kwa kila anayemuomba namba. Yaani nusura nianguke ofisini maana mpaka wenzangu wamejua kuna tatizo ila sijafungua mdomo wangu.
Nimerudi nimemkuta ananichekea yani sijaongea kitu roho inaniuma vibaya, nahangaika kutoa jasho kwaajili ya kumpendezesha na mtoto wetu ila kaniona boya. Wakati naanza uhusiano nae nilikuta akiwa na elimu ya darasa la saba tu, nikamuendeleza QT na kumfundisha mpaka now ana diploma na October anaingia degree, sijui hata nifanye nini haki ya Mungu inanitesa sana.
Pole ya kawaida hayo, ongea nae delete hiyo account Facebook, jipe muda maumivu yapungue msamehe maisha yaendelee.....
Kwani inapungua utamu baba? Acha kujipa stressHakuna ukawaida kwenye kuchapiwa my dear.
Kwani inapungua utamu baba? Acha kujipa stress
Ni kweli aiseeHaya mambo yanatokana na upbringing, msiwalaumu sana wanaume wa kiafrika kwa kukosa caring, walivyokuwa wadogo hawakuona baba na mama zao wakiambiana "nakupenda" au "nisamehe mke wangu".
Mambo mengine watu hushindwa kuji tune ukubwani, laiti kama wangeyaona utotoni, wangejifunza na kuyatumia ukubwani. Mfano mimi na kukua kwangu sikuwahi kumuona baba hata kumchumu mama shavuni, hata mara moja, hivyo ni ngumu sana kufanya hivyo mbele ya watoto saivi.
Ha ha ha kusalitiwa kunaumaUtamu hauwezi kuwepo kama akili imevurugwa....
Ha ha ha kusalitiwa kunauma
Unajipa muda tu maumivu yakiisha unarudi kusimama kuchaNdo manake, na show haziwezi kuwa the same ukishachapiwa.
Unajipa muda tu maumivu yakiisha unarudi kusimama kucha
Utakua na kazi ya kutua mzigo kila siku ha ha haAhh wapi....unatua mzigo na unafanya usajili mpya.