Mke wangu ananiumiza kichwa

mchane live then msikilize atajiteteaje mwisho wa siku msamehe maisha yaendelee
 
mkuu Ngumi huwa unaziacha ofisini piga mpaka umpe mwanya kudharau misemo ya wakurya hayo ndo madhara yako
 
Karatu?
Katesh?
Mbulu?
Babati?
Hydom?
Mbulu mbulu?
Mto wa Mbu?
Mdorii?
Gidas?

Nilionywa na Mzazi nisioe mwenyeji wa huko...Eeh mwenyezi mungu nisaidie.
 
Hv kwanini mwanaume akicheat wanawake tunavumilia ila mwanamke akicheat hata kama mwanaume ndo kasababisha kuna zero tolerance??
Naomba kueleweshwa hapa, why can't u forgive a cheating wife akiomba msamaha ili muanze moja
Wanaume huwa tunatafuta kwa jasho ili Mradi kumeet demands za wake na familia, in that case basi wengi hupendwa kuheshimiwa na kutodharaulika kwa kuchapiwa na vijana especially ambao Hawana mwelekeo. Ila is vijana ambao sio watafutaji Mara nyingi huwa hawamind sana mwanamke akichepuka na kuhudumia familia, ninao mfano mzuri wa kijana hapa mtaani kwetu ambae demu wake huudumia familia na anajua fika kuwa demu mgawaji sana.
 
Mwanaume si malaya. Mwanaume ni muhuni. Malaya ni mwanamke.

Sent from my E6553 using JamiiForums mobile app
 
nadhani anakutega tu kwa sababu kwanza alikuamabia ccoubt ina shida na uliporudi akawa anakuchekea..............
 
Swala kama lako lilishanitokea,tena kwa wife kama wewe.nilipopata gap la kuongea nae ilikuwa wakati namgegeda ndo nikauliza fulani ndo nani? Mara nikaona mtu anaanza kulia kwa kwikwi,ooh mme wangu nisamehe sitorudia.nikachomoa gegedo nikashuka. Nikauliza nikusamehe kwa LIPI? Niambie ukweli fulani ni nani? Nimetembea na fulani mara mbili.Aisee nguvu ziliisha ghafla nikahisi joto kari kwa sababu ya hasira za ghafla.Akali usiku kucha na kuomba msamaha.Ilipita wiki nzima analia na kuomba msamaha,sikumpiga wala kumgombeza.Nikamwambia nimekusamehe yameisha.Mpaka leo tupo pamoja na ndoa inaendelea.TANGU SIKU HIYO NIMEJIFUNZA VITU VINGI.
1. usimuamini mwanamke kwa jambo lolote.
2. Mwanamke huwa haachani na mpenzi wake wa zamani(coz niligundua ni jamaa yake wa zamani)
3. Usishike simu ya mpenzi wako.
4. Kubali au kataa ila tambua unapigiwa siku zote.
SULUHISHO LA LOTE HAYA.
1. NIKIMTAMANI DEMU YOYOTE NA UWEZO WA KUMPATA NINAO LAZIMA NIMLE.
 
Duuuuh hii Sasa ni hatari...
 

Mkuu umemaliza! Naona wengine wanazunguka tu!
 
Na mawazo yao ya kisengerema KUCHEAT NI HAKI YAO teh what goes around......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…