mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Huyo mke wako ana umri gani ? Maana isijekuwa ulioa mwanamke ambaye hajakomaa mawazo .
Ugomv wenu ni vyombo tu kulukiwa tope au bado mna ugomvi wa mwanzo,mbona sioni ttzo
kwanza ndio mke huyu huyu mwenye mkasa huuu nilienda kwao katika ugonvi huu nikajishusha basi akarudi tukaishi na akaondoka tena mapema mwezi wa saba kwa kosa hilo la kimtandaoKwani huyu mke wako si mlishaachana mkuu?
Kwanini unaniacha wakati nakuhitaji?
Habari Waungwana Najuwa wapo watakaonibeza na kunidharau ila haya yalionikuta usiombe yakufike yasikie tuu kwa mwenzako maana mzigo wa mwenzako ni polo la usufi. Naamini hakuna mahusiano ambayo hayana Changamoto ila mengine Kiboko siku ya 30/12/2020 nimeachwa na mke wangu bila ya sababu ya...www.jamiiforums.com
kaka nishasema ila tatizo anaonekana kua na misimamo ya kutojaliSit and talk with her. Try to understand your wife and solve your marriage's challenges before you drop them here. Ikishindikana kwa njia zako utakazoziona za busara, tafuta msaada. Usije tafuta msaada kabla ya kuchukua hatua yoyote ulioiona kwako ni bora.
Atafutaye msaada kabla ya kuushirikisha ubongo wake katika kuamua huyo hubaki kuwa tegemezi katika kila jambo limtokealo.
Ila wewe πππKwauandishi huu wewe ndio una matatizo
Najua hata wewe itaniunga mkono kwenye hiloIla wewe [emoji23][emoji23][emoji23]