Usipo oa basi utaolewa.
Kama anataka kumsamehe amuache kwanza, yaani ahakikishe huo msamaha huyo mwanamke kausotea haswaaa, maana itampa uoga kurudia tena hilo kosa. Lakini pia hii itampa na yeye mda wa kujitafakari je ataweza tena kuendelea nae baada ya huo usaliti!?Aiseeee....
Alikwambia ukweli. Ila reaction yako imemuogopesha imebidi akwambie alikuwa anatania.
Ametoa/anatoa hiyo mimba.
Kama unaweza kuhimili msamehe. Ila ukae ukijua wanawake wengi tukisamehewa kosa la usaliti Huwa tunaona kama tumewashika na hamna la kutufanya. Ni mara chache mwanamke kusamehewa na kumuheshimu mumewe vile vile, narudia wapo ambao wakisamehewa wanabadilika kweli ila ni wachache.
Pole Kwa changamoto mkuu, lolote utaloamua angalia amani ya moyo wako zaidi na mustakabali wa maisha ya mtoto wenu.
We handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.Uzoefu wa magumu husaidia pia
Apo nakupinga kitalembwa unaweza kumchakata vizuri sana mkeo ila akakuzingua tu yani na wao ni kama sisi tu icho chakula hakishibishiKuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!
Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k
We handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.
1. Mwanamke kacheat
2. Kagongwa dry, maana yake hajali magonjwa.
3. Kabeba na mimba.
Hivi vitu ukivifikiria ndio vinachanganya kabisa akili.
Acha kuweka utetezi rahisi mkuu. Wewe unavyocheat ni mwanamke wako ndio anasababisha?Kuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!
Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k
Ila kama we n mwaminifu utaumia sana ila kama mtu ukiona unaruka nacho inakubid kuwa mpole tena sana maana kipimo tupimiacho ndicho hicho hicho tunahudumiwa nacho ni ngumu mno ila kujitafakari then kutuliza akil ndan ya siku mbil tatu kwanzaWe handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.
1. Mwanamke kacheat
2. Kagongwa dry, maana yake hajali magonjwa.
3. Kabeba na mimba.
Hivi vitu ukivifikiria ndio vinachanganya kabisa akili.
[emoji16][emoji16][emoji16]case closed#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani
Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile?
Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Hapana usinye pombe, bali nenda kwenye mkutano wa injili ulio karibu nawe.na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.