Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,184
- 45,910
hahahahahaha nimecheka sana ,ila umeongea kweli, Jf kuna watu umri mkubwa afu wameoa ila wajinga sana hua nacheka sana ujinga wanaoandika.lingine lililia humu eti mkewe kalitukanaWatu wengine mmetuzidi umri, majukumu mpaka ujinga.
Madaktari wanasema kama hakuna tatizo siku 40 zikiisha tangu uzazi kumegana kuanze.
Mkeo ukimuomba tendo akasema sababu ni kumharibu mtoto si umuambie mfanye mutual masturbation