Mke wangu ananinyima haki yangu ya ndoa mwezi wa nne sasa

Nakushauri tafuta mchepuko.
Mke mmoja analeta stress sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kuwa na mchepuko kunaweza kusaidia kwa kiasi fulani lakini siyo kwamba ndiyo suluhisho la kudumu katika kutatua tatizo hilo maana ni kama kunywa pombe pale unapokuwa na stress ukitegemea kuondoa tatizo kumbe ni kuahirisha tu tatizo kwa muda na pombe zikiisha stress zinaendelea kama kawaida.

Kuna jamaa yangu anadai kama ingelikuwa siyo michepuke yake ndoa yake na mkewe ingekuwa imeshalala chali siku nyingi.
 
Back
Top Bottom