Mke wangu ananinyima haki yangu ya ndoa mwezi wa nne sasa

Huo nao ni ushauri au kumpotezea mwenzenu busara inahitajika kwanza huyo mwanamke kajifungua kawaida au kwa kisu.
Hahah hapa nazingua sipo serious, ila kimsingi inabidi kufautilia taratibu kujua kiini cha tatizo. Maana unaeza dhani mke mjeuri kumbe ana yale maumivu flani ya mgongo misuli haijakaa freshi! Ni vizuri kwenda nalo taratibu
 
Mimba na uzazi, humsababishia mwanamke mabadiliko ya kimwili , kisaikolojia na kibaiolojia. Kama hali ngumu anapitia hadi kutokuwa na hamu ya hilo tendo. Msaidie kurejea ktk hali ya kawaida badala ya kumshutumu na kumuanika hapa JF, Yawezekana baada ya kujifungua haujampa huduma muhimu za kumsaidia, vyakula vya kuongeza maziwa au huduma zingine. Yawezekana pia hujafunga nae ndoa rasmi au unadaiwa ukweni. Ktk hali ya mkeo, jitahidi kuwa karibu nae zaidi na kumsaidia ili hamu ya tendon irejee
Ni kweli kabisa, wakati mwingine wanaume inabidi muwe waelewa kwa baadhi ya mambo na sio kuhukumu, suala la uzazi ni gumu na kila mtu anaexperience tofauti, it may take monthes kwa mwanamke kusahau yale aliyoyapitia katika chumba cha labor na hiyo inapelekea kuharibu hisia zake,

Sio jambo rahisi kupitisha kiumbe sehemu za siri,

Mimi kipindi cha mwanzo huwa nakuwa na hisia za namna mtoto anavyotoka..yani ile proceas ya kupush mpaka mtoto anatoka huwa haifutiki kichwani haraka na kila nikiikumbuka pia nakua na hisia za ule uchungu/ maumivu

Bahati nzuri mume wangu alikua mwelewa na amekua akijitahidi kuhakikisha nasahau na kurudi katika hali ya kawaida..wakati mwingine amekua akinipeleka kwa wanasaikolojia kwa ajili ya kupata msaada.

Hii hali imekua ikinitokea kwa watoto wote wanne ila baada ya muda huwa inapotea na ninakua kawaida

Wanaume mjitahidi kuwasaidia wake zenu na kiwaonyesha upendo wakati wa uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah hapa nazingua sipo serious, ila kimsingi inabidi kufautilia taratibu kujua kiini cha tatizo. Maana unaeza dhani mke mjeuri kumbe ana yale maumivu flani ya mgongo misuli haijakaa freshi! Ni vizuri kwenda nalo taratibu
Baadhi ya wanawaume hawajui kuvumilia hiyo miezi 4 aliyo andika hapa pengine si kweli ni siku 4 siamini miezi mwanamke akatae labla ajifungue kwa operasheni.
 
Ni kweli kabisa, wakati mwingine wanaume inabidi muwe waelewa kwa baadhi ya mambo na sio kuhukumu, suala la uzazi ni gumu na kila mtu anaexperience tofauti, it may take monthes kwa mwanamke kusahau yale aliyoyapitia katika chumba cha labor na hiyo inapelekea kuharibu hisia zake,

Sio jambo rahisi kupitisha kiumbe sehemu za siri,

Mimi kipindi cha mwanzo huwa nakuwa na hisia za namna mtoto anavyotoka..yani ile proceas ya kupush mpaka mtoto anatoka huwa haifutiki kichwani haraka na kila nikiikumbuka pia nakua na hisia za ule uchungu/ maumivu

Bahati nzuri mume wangu alikua mwelewa na amekua akijitahidi kuhakikisha nasahau na kurudi katika hali ya kawaida..wakati mwingine amekua akinipeleka kwa wanasaikolojia kwa ajili ya kupata msaada.

Hii hali imekua ikinitokea kwa watoto wote wanne ila baada ya muda huwa inapotea na ninakua kawaida

Wanaume mjitahidi kuwasaidia wake zenu na kiwaonyesha upendo wakati wa uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe mama
 
Yaani mke wangu kila nikimuomba tendo ananinyima nikijaribu kumpapasa napigwa kifuti eti akinipa tutamualibu mtoto ambaye ana miezi minne mpaka sasa

jamani nashindwa la kufanya juu ya hili swala binafsi naumia hasa pale ninapo kuwa na hamu alafu natolewa nje.

Hivi imekaaje hii je ni kweli tunaweza kumualibu mtoto au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ongeza bidii yko kitandan mkuu
Ila mtoto ni wako, hongera
 
Ni kweli kabisa, wakati mwingine wanaume inabidi muwe waelewa kwa baadhi ya mambo na sio kuhukumu, suala la uzazi ni gumu na kila mtu anaexperience tofauti, it may take monthes kwa mwanamke kusahau yale aliyoyapitia katika chumba cha labor na hiyo inapelekea kuharibu hisia zake,

Sio jambo rahisi kupitisha kiumbe sehemu za siri,

Mimi kipindi cha mwanzo huwa nakuwa na hisia za namna mtoto anavyotoka..yani ile proceas ya kupush mpaka mtoto anatoka huwa haifutiki kichwani haraka na kila nikiikumbuka pia nakua na hisia za ule uchungu/ maumivu

Bahati nzuri mume wangu alikua mwelewa na amekua akijitahidi kuhakikisha nasahau na kurudi katika hali ya kawaida..wakati mwingine amekua akinipeleka kwa wanasaikolojia kwa ajili ya kupata msaada.

Hii hali imekua ikinitokea kwa watoto wote wanne ila baada ya muda huwa inapotea na ninakua kawaida

Wanaume mjitahidi kuwasaidia wake zenu na kiwaonyesha upendo wakati wa uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli ujauzito huwa na issues kweli kweli.
 
Inaezekana mtoto sio wako..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hahaha inaeza fika na pengine alizoea kula pipi kila siku so hio hali ya kupigwa ban kwa da mrefu imemuathiri baba Atuntu!
Kuna ugomvi niliwahi kusuluhisha usiku saa Sita,Mwanamke analia ananigongea mlango namuuliza vipi tatizo nini ilibidi nifungue kuja kunipa maelezo nilichoka bidada kajifungua siku tatu jamaa anaomba mzigo tena kwa lazima.
 
Uhakika huyo mtoto siyo wako..mwenye mandate ya kumgonga mkeo ni huyo anayemjua kuwa ndo Baba wa mtoto...Kwa dhana ya mitaani iliyopo ambayo akina mama huwa wanaambiwa ukichepuka mtoto ataharibika,hutapewa K mkuu maana ww ni mchepuko kwa huyo mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ugomvi niliwahi kusuluhisha usiku saa Sita,Mwanamke analia ananigongea mlango namuuliza vipi tatizo nini ilibidi nifungue kuja kunipa maelezo nilichoka bidada kajifungua siku tatu jamaa anaomba mzigo tena kwa lazima.
Jamaa muuaji, asee mchepuko muhimu kipindi cha uzazi ili usimtese mke!
 
Back
Top Bottom