Mke wangu ananinyima haki yangu ya ndoa mwezi wa nne sasa

Watu wengine mmetuzidi umri, majukumu mpaka ujinga.

Madaktari wanasema kama hakuna tatizo siku 40 zikiisha tangu uzazi kumegana kuanze.

Mkeo ukimuomba tendo akasema sababu ni kumharibu mtoto si umuambie mfanye mutual masturbation
hahahahahaha nimecheka sana ,ila umeongea kweli, Jf kuna watu umri mkubwa afu wameoa ila wajinga sana hua nacheka sana ujinga wanaoandika.lingine lililia humu eti mkewe kalitukana
 
Yaani mke wangu kila nikimuomba tendo ananinyima nikijaribu kumpapasa napigwa kifuti eti akinipa tutamualibu mtoto ambaye ana miezi minne mpaka sasa

jamani nashindwa la kufanya juu ya hili swala binafsi naumia hasa pale ninapo kuwa na hamu alafu natolewa nje.

Hivi imekaaje hii je ni kweli tunaweza kumualibu mtoto au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mjomba angalia usijekuta mtoto sio wako.
Mtoto anapaswa kuzibuliwa masikio after 40 days kama mama hakumpata kwa CS.

Stuka ankoo.
 
Yaani mke wangu kila nikimuomba tendo ananinyima nikijaribu kumpapasa napigwa kifuti eti akinipa tutamualibu mtoto ambaye ana miezi minne mpaka sasa

jamani nashindwa la kufanya juu ya hili swala binafsi naumia hasa pale ninapo kuwa na hamu alafu natolewa nje.

Hivi imekaaje hii je ni kweli tunaweza kumualibu mtoto au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapime HIV mkuu
 
Ndio maana wazee walikuwa wanaongeza mke ili kumuacha aendelee kulea mtoto.
Kumrudia baada ya mwaka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa, wakati mwingine wanaume inabidi muwe waelewa kwa baadhi ya mambo na sio kuhukumu, suala la uzazi ni gumu na kila mtu anaexperience tofauti, it may take monthes kwa mwanamke kusahau yale aliyoyapitia katika chumba cha labor na hiyo inapelekea kuharibu hisia zake,

Sio jambo rahisi kupitisha kiumbe sehemu za siri,

Mimi kipindi cha mwanzo huwa nakuwa na hisia za namna mtoto anavyotoka..yani ile proceas ya kupush mpaka mtoto anatoka huwa haifutiki kichwani haraka na kila nikiikumbuka pia nakua na hisia za ule uchungu/ maumivu

Bahati nzuri mume wangu alikua mwelewa na amekua akijitahidi kuhakikisha nasahau na kurudi katika hali ya kawaida..wakati mwingine amekua akinipeleka kwa wanasaikolojia kwa ajili ya kupata msaada.

Hii hali imekua ikinitokea kwa watoto wote wanne ila baada ya muda huwa inapotea na ninakua kawaida

Wanaume mjitahidi kuwasaidia wake zenu na kiwaonyesha upendo wakati wa uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea neno mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengine mmetuzidi umri, majukumu mpaka ujinga.

Madaktari wanasema kama hakuna tatizo siku 40 zikiisha tangu uzazi kumegana kuanze.

Mkeo ukimuomba tendo akasema sababu ni kumharibu mtoto si umuambie mfanye mutual masturbation
Mutual masturbation ndio inakuwaje
 
Kuna ugomvi niliwahi kusuluhisha usiku saa Sita,Mwanamke analia ananigongea mlango namuuliza vipi tatizo nini ilibidi nifungue kuja kunipa maelezo nilichoka bidada kajifungua siku tatu jamaa anaomba mzigo tena kwa lazima.
Khaaaa

troublemaker 2019. all right received.
 
Yaani mke wangu kila nikimuomba tendo ananinyima nikijaribu kumpapasa napigwa kifuti eti akinipa tutamualibu mtoto ambaye ana miezi minne mpaka sasa

jamani nashindwa la kufanya juu ya hili swala binafsi naumia hasa pale ninapo kuwa na hamu alafu natolewa nje.

Hivi imekaaje hii je ni kweli tunaweza kumualibu mtoto au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri tafuta mchepuko.
Mke mmoja analeta stress sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom