Mke wangu ananiibia pesa

Mke wangu ananiibia pesa

Jamaa yangu alichukua changu walipofika room jamaa akaficha walet kwenye mto aliolalia yule changu. Alipopiga kimoja akajifanya anakoroma huku anapiga chabo kiaina.. wacha nguo zipigwe peksheni utafikiri anatafutwa kunguni. Jamaa akajifanya kaamka ghafla, dem akasingizia alikiwa anataka kwenda kuoga (!!!???) dem alipoingia bafuni jamaa kavaa fasta kasepa. Hiyo inaitwa kuviziana

Sasa kichekesho jamaa hakujua dem anaishi mtaa gani, siku mbili tu badae tukakutana na yule dem kwenye bar nyingine palichimbika
 
siku nyingine ziweke alama kama kuandika namba kwa mbali au kupaka kawino halafu zipige na picha asubuhi muazime hela akitoa hiyo hiyo muonyeshe picha haafu muambie we ndiyo mwizi wangu
 
siku nyingine ziweke alama kama kuandika namba kwa mbali au kupaka kawino halafu zipige na picha asubuhi muazime hela akitoa hiyo hiyo muonyeshe picha haafu muambie we ndiyo mwizi wangu
Shikamooo
 
Teh teh yaani unajuaje kua mke kakuibia?
 
Kwani kuna ubaya gani c ww mzazi mwenzake acha achukue tu
 
Ndugu wana jf nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kuhemea kila kitu cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua nikiamka asbh nikimuuliza anakuwa mkali akidai ela yote imeishia kwenye pombe je nichukue hatua gani?
Hakikisha umemaliza hela yote kwenye pombe, atakosa cha kukuibia na ugomvi utaisha.
 
siku nyingine ziweke alama kama kuandika namba kwa mbali au kupaka kawino halafu zipige na picha asubuhi muazime hela akitoa hiyo hiyo muonyeshe picha haafu muambie we ndiyo mwizi wangu
Aisee wachaga na hela! Mnajua mbinu zote
 
Ndugu wana jf nina mke nimezaa naye mtoto mmoja bahati nzuri mungu kanijalia kazi ambayo inaniwezesha kupata mahitaji yangu ya kila siku kila mwisho wa mwezi na mpa pesa ya kuhemea kila kitu cha ndani cha kushangaza kila nikirudi home akigundua nimelewa ananisachi na anachokikuta anachukua nikiamka asbh nikimuuliza anakuwa mkali akidai ela yote imeishia kwenye pombe je nichukue hatua gani?
Bro huu ushauri unaopewa wenye lengo la kubomoa sio mzuri,binadamu ni dhaifu mtu akikosea haina maana ya kumfukuza au kumwacha,tunafunzwa kusamehe ili nasi tusamehewe.Jambo la msingi siku moja ukiwa hujalewa mwite na umweleze makisa yake,mwambie kila kitu na umsanehe muanze upya
 
acha pombe, unalewa hadi ukisachiwa huelewi?
 
Huachagi pesa ya matumizi labda ndiyo maana...
 
Inaitwa 'kupima oil'
Mlie taiminyi, jifanye umelewa halafu uwe na hesabu kamili, ukiweza iandike mahali.
 
Back
Top Bottom