Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Define wizi..Hakuna mke mwizi duniani, anachukua mgao wake kama unabisha mpe mke talaka, ukienda mahakamani mali zako mnagawana 50 kwa 50.
Define wizi..Hakuna mke mwizi duniani, anachukua mgao wake kama unabisha mpe mke talaka, ukienda mahakamani mali zako mnagawana 50 kwa 50.
vumilieni tuWsnaume tumeumbwa mateso
wizi ni kitendo cha kuchukua kitu cha mtu bila ruhusa ya mmiliki, ila kwa kesi ya mke na mume alichonacho mwanamke ni cha mmewe na alichonacho mwanaume ni cha mkewe.Define wizi..
Usimshauri aache pombe kwa sababu ya mambo ya kijingaAcha pombe
Kweli mkuu kwanza kumshauri mtu kuacha pombe ni kupunguza mapato ya serikali.Usimshauri aache pombe kwa sababu ya mambo ya kijinga
Ineno.Omera nyako raach