Mke wangu anamshobokea jirani yetu

Mke wangu anamshobokea jirani yetu

Cariha, kama wewe ni mwanamke unaombwa utusaidie kihalisia, Nini huwa kinapelekea mwanamke (hasa aliyeolewa) kushobekea mwanamume mwingine badala ya kum-mind mumewe ?
Si lazia Cariha ajibu, Jamani mtu anayefahamu ni kwanini wanawake hasa walioolewa hupenda kushobokea wanaume wengine badala ya kujali waume zao ?.
 
Si lazia Cariha ajibu, Jamani mtu anayefahamu ni kwanini wanawake hasa walioolewa hupenda kushobokea wanaume wengine badala ya kujali waume zao ?.
Twende mbele turudi nyuma, kila Mtu ana kitu/Mtu anatokea kumpenda alivyo/anavyomuona.

Na tukumbuke sio lazima kwamba wale tunaooana/olewa nao ndio viumbe tuliowapenda kuliko wote.

Kupenda ni hisia na si kila mmoja anaweza kuzi control, na kuoa/kuolewa sio kwamba hisia hizo zimefika kikomo...ni tuna zi control tu.

Changamoto ya huyu ndugu yetu ni kuwa Mke anashindwa kuficha hisia zake.
 
Ishu ndogo sana. Inategemea Jamaa yako anampenda kiasi gani mkewe. Ingekua Mimi ningetafuta kadada kazuriii jirani nami nikikaona tu nakasifia balaa ila asiwe mke wa MTU. Namvizia tu akimsifia na mm nachomekea siku ingine. Mwanaume hutakiwi kulalama maana we ndo kichwa. Ongoza mke.
 
Kabisa, nadhani hapa atakoma maana dawa ya moto ni moto.
 
Kusoma.hujui hata picha huoni lama.kuna viumbe hawaweInkuficha hisia ni Wanawake We fanya mpangu mkabidhi
 
Cariha, kama wewe ni mwanamke unaombwa utusaidie kihalisia, Nini huwa kinapelekea mwanamke (hasa aliyeolewa) kushobekea mwanamume mwingine badala ya kum-mind mumewe ?
Hyo hali hutokea tu nadhani aisee kuolewa haimaanishi huwezi penda wengine, inatokeaga tu kuna kuwa na mvutano flani kwa mtu anayejielewa na kumjali mpenzi wake hawezi kushoboka hadharani na kumsifia mwingine unaficha tu.
 
Si lazia Cariha ajibu, Jamani mtu anayefahamu ni kwanini wanawake hasa walioolewa hupenda kushobokea wanaume wengine badala ya kujali waume zao ?.
Ila hata nyie huwa hamjitulizi labda ngoma dro though I'm not married
 
Mshauri akubali matokeo tu maana kwa desturi ya hawa dada zetu wakishaamua lao kila ukimkataza ni kama unamsukuma akafanye zaidi.
Siku atakayosikia Amos hashobokewi tena basi hapo ajue kuwa mama watoto wake keshatimiza lengo lake tayari.
Mkuu kina mama wana shoboka na awaambiliki ila wazee nao kwa kujua jupimia kumi na nane awajaachwa nyumaa
 
mpe talaka huyo mke wa "jamaa" yako ...........
acha kusingizia watu wakati ni ww mwenyewe
na kwa taarifa yako huyo mke wako nisha mkula
 
Back
Top Bottom