Ibn Ayoub
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,237
- 3,081
Umetumia kipimo gani kumjua kuwa hayuko social ktk mitandaoSio kila Mtu yupo kwenye social media, ingawa siwezi msemea sana huenda yupo ila sio active sana mitandaoni.
Umetumia kipimo gani kumjua kuwa hayuko social ktk mitandaoSio kila Mtu yupo kwenye social media, ingawa siwezi msemea sana huenda yupo ila sio active sana mitandaoni.
Hilo nalo neno maana vijana husema nchi imesimamaYaani aache nyumba yake waliyoijenga?na
Kwa usawa huu mbona sasa huo ni mtihani.
Hapo umeshaliwa mazeeNamuwakilisha Muhusika tu ingawa Amos namjua, ni brazameni ana drive kitu cha harrier ya grey na miwani nyeusi haibanduki usoni.
Ni muda sasa ameniambia hii ishu, nikamshauri hata atafute washauri wa mambo ya ndoa akasema hapendi kuanika mambo yake.Umetumia kipimo gani kumjua kuwa hayuko social ktk mitandao
Sijamtaja jina sasa kivipi iwe nimeweka hadharani Mkuu?Nina wasisi jamaa hajampata mtu sahihi wa kumwambia vilio vyake maana anaongea nae falaghani halafu jamaa anaanika hadharani
😀😀Mkuu au ni wewe mwenyewe? Jamaa ,,jamaa gni? Weka mpira kati usaidiwe,,,pengine huyo AMOS mwenyewe yupo humu...
Teh teh teh teh.....Haya mambo haya!Mpotezee tu mkuu ila ujue keshamla Amos kihisia!Na usishangae siku moja wakati wa tendo la edeni akanogewa na kupiga ukelele wa amosiiiiih uuugh..
Anadhani bado hajagongewa ila Mkewe anaweza kusukuma hilo litokee, na haoni dalili za Amos kumtaka Mkewe.Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu
Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu - JamiiForums
Japo hujamtaja jina ila teyali wajuaji tushamjua kwa kile kitendo chako cha kumtaja Amosi sehemu anayojenga ndipo tukaangalia ktk maaneo yale anyojenga amosi nani hana furaha na ndoa yakeSijamtaja jina sasa kivipi iwe nimeweka hadharani Mkuu?
.
Matatizo hufanana hivyo waweza kupata mawazo mengi mbalimbali, ukachuja na kuenda kumshauri.
Amos sio jina halisi Mkuu, na wenye Harrier ni wengi bado ni ngumu sana kumng'amua.Japo hujamtaja jina ila teyali wajuaji tushamjua kwa kile kitendo chako cha kumtaja Amosi sehemu anayojenga ndipo tukaangalia ktk maaneo yale anyojenga amosi nani hana furaha na ndoa yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aache KUJIKINGA kwenye KIVULI CHA JAMAA Fulani,,,awe muwazi AMOS yumo humu JF.....akimla tunamfungulia Uzi mpya,,MKUU AMOS WACHA KULA MKE WA MWENZIO ..kkkkkk
Inategemea huyo Amos yukoje.Duh sasa mku huoni kama itakua ndio kwanza anamuozesha kabisa
Umechelewa sana unataka kugeuza sasa watu waone kuwa Amosi sio jna halisi iweje vifanane jina aina ya gari anayotembelea idadi ya watoto wa Amos kazi ya ujenzi inayoendeshwa na hata mapigo ya uvaaji hapana mkuu umechemka ktk hiliAmos sio jina halisi Mkuu, na wenye Harrier ni wengi bado ni ngumu sana kumng'amua.
Amuache tu huyo, mtu hana heshima wa nini!!!Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya
ok sawa na je kwakuwa huwezi juwa atapokeaje na akiwa kinyume na hivyo utalala ukimegewaInategemea huyo Amos yukoje.
Kuja Wanaume wengine ni Ma gentle men, mnaweza kuongea alafu akaamua kumpotezea huyo wife.
Mwisho wa siku huwezi kuwachunga, wakitaka kufanya yao watafanya tu.
Point ya msingi ni kuwa huyu Mke hafanyi hayo kwa makusudi au kukomoa.Amuache tu huyo, mtu hana heshima wa nini!!!