JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 563
- Thread starter
- #101
Kupitia michango ya Wadau humu bado nahisi kuna pointi inachanganywa hapa.
Jamaa hana hofu sana ya Mkewe 'kupigwa' na Amos.
Jamaa anachohitaji ni ushauri wa kuondokana na hiyo kero ya Amos kupewa kipaumbele kwa mambo kadha wa kadha hapo ndani kwao...na huenda wala hata Amos hajui kinachoendelea.
Jamaa anaamini kabisa kuwa Mkewe anachukulia hilo ni jambo tu la kawaida ingawa Mume ndiye anaona kwake ni kero.
Na pia kuna wengi mnachukulia kama vile kila 'ndoa' Mume ndiye muhimili mkuu, kwamba anaweza tu kuamrisha kile anachotaka kifanyike...kuna nyumba nyingine madaraka ni 50 kwa 50, na kabla ya mmoja kulalamika basi lazima ajiridhishe kwamba hilo analolalamikia ni tatizo kubwa sana, na pia awe na sababu zinazojitosheleza.