Mke wangu anam-post Bosi wake WhatsApp Status

Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..

Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".

Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.

Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Bora huyuu kiboko ya wachawi aliwapa aanawake wote kanisan passport size zake waweke kwenye pochi mbwa yule hahaha
 
Mkeo kashaliwa hapo hakuna kitu pole mkuu inaonekana hata Mali kwao hukutoa ndyo maan hakuheshimu
 
Screenshot_20250430-154427.png
 
Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..

Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".

Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.

Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Laki imeisha nikuombee nyingine usahahu machungu?
 
Hapa sio Facebook.
 
Game over
 
KUNA BIASHARA UMEFANYA NA BOSI WAKE BILA WEWE KUJIJUA.
 
Mke mwema anatoka kwa bwana, umepata wakufanana nae😂😂
 
Huenda huyo ndo mume mkubwa....eti suruali ya ulimbo 😀
 
Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..

Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".

Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.

Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Muombe talaka yako mkuu.
 
Sio mke wako tena ni mke wenu.
 
Tafuta Hela Boss
 
Achana nae huyo sio mke
 
Back
Top Bottom