Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 721
- 1,449
Don't make decisions when you are angry!! Huwez jua how far anampenda mke wake...by the way wapo watu waliowafumania wake zao live na still bado hawajaachana ila kuna wengne waliachana na wake zao kisa SMS za kwenye simu tu... Kikubwa waongee tu wafikie muafaka kama either Ni kumsamehe au kumuacha!...............Sasa unadhani hapo kuna jengine kama siyo kumuacha?huyo ni malaya na huo ni uthibitisho tosha namshangaa mwamba yupo hapa ana-post saizi alitakiwa awe anamsimamia kutoa vitu vyake nje hawa malaya siyo wa kucheka nao wanakuuwa huku unajiona.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
