Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 721
- 1,449
Ni mke wako zungumza nae kwa upole kbs hawa wanawake hujui kitu kingine waliongea na shetani zaid ya lile tunda!!! Kuna watu wanaweza kukushauri humu ukamuacha mkeo bureee

That's not my habit, I'm just trying them. Sababu sitaki kuja kumwongelea mtu uongo kuwa anauza uwa bila kuwa na ushahidi.Huyo ni mjasiriamali ni typing error tu..kuna vitu anauza kimoja elfu 20 jamaa alikusudia kuuliza mbili? Yaani kama moja elfu 20 mbili itakua kiasi gani?![]()
😂😂😂😂Naona ungekutana na msg Kama hii ungeziraiView attachment 1419034
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Mpe wazo positiveSijaona hata aliyekuja na wazo positive
Sahizi tungekuwa tunaongea mengine hapa..... Sijui nani angetupa taarifa kama mwanajf mwenzetu amedanjiNaona ungekutana na msg Kama hii ungeziraiView attachment 1419034
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Mkuu tafadhari weka namba yake ili tukupe ushaidi kamili ila yeye usinambie kama umeshtua huku kuhusu hiyo biasharaWakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuma Bei gani anafanya?Wakuu,

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂She is working from home