shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,440
- 3,606
acha uongo mkuu, mtumaji wa meseji yupo upande wa kulia anayeuliza mbele na hawezi kuwa mwanamke, huyo ni mwanaume (WEWE) Ume capture chatt yako na malaya.Wakuu,
Nimekuta sms kwenye simu ya mke wangu (TELEGRAM) japo mazungumzo yameanzia katikati inaonekana sms nyingine alizifuta ila hizo za mwisho alisahau. Mazungumzo yapo hivi
Mke wangu: moja elfu 20
Namba ngeni: mbele?
Mke wangu: yes
Nimemuuliza huyu ni nani, hajanijibu chochote yupo kimya. Ukimya wake ukanifanya nimpige makofi, yupo analia huko ndani. Screenshot hii hapa chini
View attachment 1419021
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app



