Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

Mimi nakushauri tu hayo ya kuomba majina kwa watu kabla kabla si mema sana labda ungekuwa na wazo hilo halafu ungesubiri mtoto azaliwe kwanza maana uzazi wa siku hizi pasua kichwa usije ukaishia kipata jina tu na usipate wa kumwita ,

sorry!! najua nimeongea jambo gumu ambalo laweza kukukwaza lakini huo ndio ukweli halisi wa maisha tuliyo nayo sasa na hasa ukizingatia sisi pia ni viumbe kama viumbe wengine.
 

Duh ww ni baba wa aina gani mpaka jina unauliza jf?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…