Mbona mnawadharau wanawake hivyo..? Ina maana mwanamke hawezi kupata nafasi ya ubunge bila ya kuliwa..?
Pamoja na kuwa hii imekaa kama kile kinywaji maarufu.....
Lakini hakuna kitu kibaya na
Hakuna kosa kubwa kama mwanamke kuolewa na mwanaume asiyejiamini, mwenye kuwaza mabaya tu na kuona kama mwanamke ni kitu duni.....
VIpi mkeo akiwa Mbunge na kuwa anatolewa out tena nje ya nchi na vigogo na kutoa penzi. Utavumiliana naye? Maana mke wangu anagombea, nifanyeje?