Mwambie akitaka amani ya roho asichunguze simu za watu.Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi. Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao. Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu. Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
Gentleman,Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.
Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.
Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.
Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la kufanya. Plz nishaurini.
.Every contact leaves a trace...Inaonekana umeoa msomi. Mbaya zaidi mtu kama huyo akiamua kukuchit haachi alama mpaka uje kugundua too late
Yaani ampe mimba za kufuatana mkewe kisa asishike simu yake, ndugu unazungumza kuzaa utasema hio ni kuku inataga tu mayai.. na hizo pesa za kugharamia watoto zinatoka mbinguni?Inaonekana mke wako hayuko bize ...huyo dawa yake ni mimba tuu, akijifungua baada miezi sita weka ingine, ukifanya hivo mara kumi hata smartphone atasahau kuitumia
Mkotongezee mama ake kwa msg.Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.
Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na marafiki zangu, account zangu za bank, ninayowasiliana na wazazi wangu, masuala ya kazini. Jamani yaani ni kila kitu. Niliweka app ya kumpiga picha akitoa password na imemkamata mara kibao.
Anachimba mpaka message za messenger, mpaka deleted messages anazifukua, mpaka zile locked messages za whatsapp anazo. Anachukua namba za watu anawapigia a. Tunachat masuala ya siri ya kifamilia kumbe yote anayajua ananichora tu.
Nimekuwa nikibadili password kila siku lakini wapi. Hii tabia kwa kweli inanikera sana na nashindwa la
Yaani huu ushauri huwa ni wa kipuuzi sana, mnavyodanganyana kwamba kumzalisha mwanamke unamkomoa na kumuweka busy, hujui kwamba wote mnapambana na wote mtakuwa busy kulea..Gentleman,
inaonekana hana wajibu wa kumkeep bize,
anahitaji jukumu maalumu,
na kwa wanaume kamili,
katika kuondoa hali hiyo ya kusumbuana kifamilia,
huwa tunafululiza watoto wawili chap chap waliokaribiana sana kuzaliwa, ili hatimae yeye awe bize na malezi na wew bize kutafuta mahitaji.
CM unaweza kuiacha mezani sebuleni hata wiki nzima hawezi kuigusa.
hatua hii hufanyika kimkakati kimyakimya kwa mapenzi mazito sana 🐒
mkiwa bize kulea si ndio kutakua hakuna muda wa kufuatiliana na kuchunguliana simu gentleman?Yaani huu ushauri huwa ni wa kipuuzi sana, mnavyodanganyana kwamba kumzalisha mwanamke unamkomoa na kumuweka busy, hujui kwamba wote mnapambana na wote mtakuwa busy kulea..
Huu ushauri huwa wakijinga sana..
Tumia biometrics hasa face ID kwenye iPhone..Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.