Mke wangu anachukia tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu anachukia tendo la ndoa

Discussion in 'JF Doctor' started by mgunda1990, Sep 23, 2012.

 1. mgunda1990

  mgunda1990 Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari,

  Kiukwel nashndwa kuelew na pia mnishaur, wife anadai uume wangu unamuumiza sababu umepinda, na unamkuna sehemu moja tu, nikimwambia tubadili style pia anakuwa mgumu.

  Kiukweli nahisi tunapoelekea tutashindwana, so plz naomben msaada...

  Natanguliza shukrani.!!
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,310
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  kama ni mkeo ongea nae vizuri au chunguza sababu ila kama ni kuumiza muandaane vizuri
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  samahani sana,nilivyosoma maelezo yako,imenibidi nicheke.jee huwa unamtayarisha vya kutosha?isije ikawa unaparamia tu,bila mihemko yoyote,na yeye mwenyewe amejichokea.na aende hospitali kuchekiwa hana uvimbe wowote kwa ndani ya k yake?unaomfanya ahisi maumivu.kwa ninavyojua mimi,ukimpata wa kukukuna hasa,na uwe una mtu wako ambae unapendana nae sana,huo mchezo ni utamu wa mwisho,haijalishi tajiri au masikini,ni utamu wa kila mtu
   
 4. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Madhara ya kuvaa chupi mmekuwa vilema ...muandaeee sawiiiiaa hadi aiveee alaf....

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 5. mgunda1990

  mgunda1990 Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  davi sory kama cjakusoma vle,bt thx,b4 nlshakua na m2 tena kanizd mvua kama 5 hv bt alikua anapenda na kufurahia sex bt nliachana nae cz alienda nje ya nch,so nkaamua kuoa na huyu 2mepishana mvua kama 2,mm ndo nmemzd na kiukwe huwa na2mia muda mwng sana kumuandaa bt nkiingia 2 anaanza kulalamka kias kwamba nashndwa kuendelea,hv kupnda kwa uume wangu inaweza kua n 7bu?mbona hko nlpotoka ckuckia malalamko hayo?
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  mwambie aende hospitali akachekiwe ndani ya k yake.jee kwa njia ya fingers anaumia?au dushelee tu?
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Asante Doctor kisukari na mimi kuna mtu nampenda hanipendi nifanyeje Dr Kisukari?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu, mbona mchokozi wewe? Endelea kumpenda tu kuna siku itatiki. Au labda anaogopa yale mapicha yako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mmejuana kwa mda gani mpaka mmefikia kugundua hili tatizo ndani ya ndoa?
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Anaogopa kasikia eti mimi nimezaliwa mapacha aki Do na mimi kimapenzi huenda akapata watoto Mapacha hicho ndio anacho ogopa kunikubali nimfanyie kitu gani anikubali? King'asti nisaidie?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  pole xana labda hakupendi huyo kwani uume hata upindeje haaaaauwezi kumuumiza mwanamke chunguza xana labda anakusaliti mchana huyo
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Kuwa persistent tu, endelea kumuonyesha upendo. Akiona unavyopenda atajua tu hata mkipata triplets, with your support you can move mountains. Afu si umpe somo la genetics, kuwa sio lazima mpate mapacha?
  (ku-do ni dhambi, muambie utamuoa kabisaa ili Mungu awape haja ya mioyo yenu)
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu King'asti Ubarikiwe Mbinguni Ameen.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  Mzizimkavu bado hujaoa tu? mambo yako yanafanana sawa vile una mke
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  ingwa havuendani sana na kisa, lakini nakumbuka kuna jirani yangu pale chigali mkewe ni shosti yangu alinisimulia ginsi anavyomkosesha raha mume wake kwa kutomoa unyumba kiuzuri kwa sababu aliwahi kuwa raped na kitendo kile kimemuathiri sana kisaikolojia kiasi kwamba akitaka kuingiliwa tu hata na mume wake anakumbuka lile tendo na kukosa utamu, bahati mbaya sana imebidi wameachana...kisa cha kweli kabisa.....inauma sana tAFUTA PSYCHOLOGISTS THW TWO OF YOU
   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  acha uchokozi,mimi sio dokta.huyo anaekutesa ni nani?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  kisukari, acha umbea. Anaemtesa ni mimi :playball:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. mgunda1990

  mgunda1990 Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  daaah huu sa hv n mwez kama wa3 tangu 2funge ndoa kingine mwenzangu n m2 wa din sana na v2 vng hapend 2fanye like sucking cz vtabu haviruhusu,napata shda kiukwel
   
 19. B

  BigMan JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  duu hivyo vifupisho ama sijui lugha gani vinatupa shida sana wengine,ni maneno niliyoweka kwa wino mwekundu,nakushauri ebu andika kawaida ili wote iwe rahisi kuelewa.asante
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ni kweli dini inakataza, ila kuandaa kuko kwa aina nyingi si lazima hiyo, na kuhusu kupinda, si issue ni maumbile tu, labda kama ni kubwa sana na ndefu sana kiasi kwamba inamuumiza, ni vizuri kumpeleka hospital aangaliwe ndani kulikoni na wewe pia ujijue una inches ngapi, maana wa kwanza hakuumia ukute kinu chake kilikidhi, ila huyu ukute kinu chake ni size tofauti, havifanani kaka!! but ol the best, nawaombea msiachane, tafuteni ufumbuzi ili muifurahie ndoa yenu!
   
Loading...