Mke wangu anachoka mapema kwenye tendo la ndoa

Mke wangu anachoka mapema kwenye tendo la ndoa

Kwani hujawahi muuliza ?
Hilo tatizo limeanza lini?
Kabla hamjaoana lilikuwepo ?
Wewe binafsi umeshafanya jitihada gani kukabiliana na tatizo hilo kabla hujalileta hapa?
 
Hiyo mapema unayosema nmi dakika ngapi? maana zile picha za x zisikudanganye.
stori za dakika 45,ni kudanganyana.Na kama unatumia dawa za kuongeza nguvu
msiwe mnawasahau kuwanunulia na wake zenu.

Sio mtu una nguvu za simba unatafuta mechi ya mapambano na sungura.

ha ha nguvu simba mechi kasungura
 
mdau pole sana hilo tatizo wanalo wengi na pia kuchoka mapema inaweza kusababishwa na tabia ya mkeo kwan wanawake walio wengi huwa na mchepuko so akirud home usiku anakuwa amechoka na pia inategemean kam hilo tatizo ni kila cku ama ni la cku na cku...kama lakila cku nakushauri mkamuone doctor
 
Nina mke mpaka sas 2na miaka 4 kwenye ndoa.ila chakushangaza anachoka mapema raund moja anakuwa hoi.wakat mim nakua bado

Nisamehe maana nikisoma response za watu naona wamekuelewa wakati mimi sijaelewa mahali

Unaposema anachoka unamaanisha anaishiwa nguvu za mwili (physically anakuwa exhausted)
au unamaanisha anaishiwa na hamu ya tendo?

Kma tatizo ni kuishiwa hamu ya tendo hapo sina ushauri..ila kama ni kuishiwa nguvu za mwili sidhani kama hilo linahitaji mtu akufundishe
hakikisha kazi anazofanya kwa kutwa zinapungua
wakati wa majamboz mwambie asijitume kupita kiasi..yaani abalance mambo
kama yote hapo juu sio sababu angalia mienendo yake ya mchana, asijekuwa anakunywa dawa kwingine kwako anamalizia panadol
tafuta style ambayo itamfanya awe less active na wewe uwe active zaidi (kwa kuanzia unaweza mlaza kifudifudi then anainua kuanzia sehemu ya nyonga kidogo tu kukupa access and you enter from behind (asisimike magoti)

Yakishindikana mlete klinik kwangu, atatakiwa kukaa wiki moja na malipo ni affordable..akitoka utaomba po mwenyewe
 
Wangu ivoivo afu nkimueleza mbishi nkamtafutia wasaidizi ambako napiga 2 kwake namalizia la 3 nalala wala hatuna ugomvi
 
Yaani dally kimoko? (bao moja )na bao lenyewe lilivyo na kiherehere! duh poleee!
 
Back
Top Bottom