Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,891
- 2,885
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣
Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti
Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna
Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii