Mke wangu ana VVU


Umechanganya madesa...
 

Watu wengi tena hapa jukwaani hawana kabisa elimu juu ya ukimwi na virusi vya ukimwi na wamebaki kudanganyana hapa..muda mwingine huwa nashangaa nikiona comment za baadhi ya watu linapokuja swala la Ukimwi na virusi vya ukimwi! Watanzania tuna uvivu sana tena usio na tija.
 
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

Mungu anakutoa kwenye umasikini mbembeleze ujue jina la daktari umshtaki akulipe heal ndefu aisee
 
Kweli kabisa mkuu.
Hapa nimebaki najiuliza hasa watu wanapokimbilia kushauri au kutoa majibu na kudhihaki badala ya kuuliza.
Hii habari kwa anaeelewa vizuri kuhusu VVU/UKIMWI haimshangazi ila asiejua alitakiwa kuuliza inakuaje? Kuuliza sio ujinga jamani.
 

Umesha sema ana wana vijidudu halafu papo hapo unasema havionekani...sasa hebu jiulize umejuaje ana virusi.

Hapo kwenye red jiulize anakuwa amebeba nini? Hizo ni story za vijiweni!Huyo mtu anakuwa na virusi sema kinga zake za mwili zinakuwa na nguvu na anakuwa anatumia ARVs na anapokutana na mtu amabye hana virusi ni rahisi mtu huyo kuugua mapema na kufa maana virusi vinatabia ya kubadilika vinapo kutana na mtu anaye tumia ARVs na vina vaa sura ya kupambana na ARVs.

Sasa vikikutana na mtu ambaye hatumii na hana maambukizi na kwakuwa vinakuwa vimekomaa ni rahisi mtu huyo kuugua na kufa mapema kama kinga yake haiko imara! Sasa ndio hapo hayo majina ya carriers yalizuka kuonesha kuna watu wana virusi lakini wana survive na wanao tembea nao wana kwenda na maji!

Kwa case ya mume kukosa virusi na mke anavyo inatokea kabisa ..pengine kuna watu hawana CD4cells..maana virusi haviwezi kukaa sehemu ambapo hakuna CD4cells ambazo ndizo chakula chao n ni ngumu kuwa gundua watu wa namna hii!
 
Mwanadamu hatakiwi kukiogopa kifo bali anatakiwa kujiandaa na maisha baada ya kifo....kwani kuishi ni bahati na kufa ni lazima...
 

Ni nini hapa unazungumzia???
Labda wengine wamekuelewa.
 
Ni nini hapa unazungumzia???
Labda wengine wamekuelewa.

Da Pretty huyo ndio kanishangaza kabisa ameshindwa kujua ni sawa na kusema uhusiano kati ya Ukimwi na Virusi vya ukimwi! Hakika hiyo debate walidanganya sana...yani mtu ansema kabisa hakuna uhusiano kati ya Ukimwi na virusi vya Ukimwi!duu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…