Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,026
1. Unahisi mimba iliyotolewa ni yako?Habari ndugu zangu,
Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.
Nashindwa kwa kuanzia
iyo sio mimba yake! tangu lini mtu anatoa mimba ya mumewe kama sio ya mchepuko! izo zarau sasa mimi niangakie familia alafu mtu aje kutoa mimba!Wenzake hata kama ya mchepuko wanazaa tu mbona wanaume kibao kwenye ndoa wanalea watoto ambao sio wao.....
La kutoa mimba hilo namlaumu sana.... Na wewe kwa kuanzia muulize kwanini ametoa mimba yako bila ridhaa yako
Najua ni ya mchepuko ndo mana kaitoa....ila sababu hajui wapi kwa kuanzia mie nimempa idea aseme kwanini katoa mimba yake afu mwanamke afunguke kama ya kwake ama laahiyo sio mimba yake! tangu lini mtu anatoa mimba ya mumewe kama sio ya mchepuko! izo zarau sasa mimi niangakie familia alafu mtu aje kutoa mimba!
Duh natamani ningekuwa na huo moyo
uyo sio mke ni msukule!Najua ni ya mchepuko ndo mana kaitoa....ila sababu hajui wapi kwa kuanzia mie nimempa idea aseme kwanini katoa mimba yake afu mwanamke afunguke kama ya kwake ama laah
uyo sio mke ni msukule!
Hahahaaa mke wa mtu huyo.....na mumewe ndo huyo mleta madauyo sio mke ni msukule!
Pita njia fupi. Mfungashie kila kilicho chake, nenda navyo hospitali kutana na wazazi wake hapo hospitali, wakabidhi mtoto wao. .huwezi fahamu what is plan b.Habari ndugu zangu,
Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.
Nashindwa kwa kuanzia
Habari ndugu zangu,
Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.
Nashindwa kwa kuanzia
uyo atakuja kukutoa hata wewe! kama ametoa mimba basi ilikuwa ya mchepuko! unatakiwa uanze kwa ukali wala usimchekee uyo! muulize akupe sababu sita au zaidi za kutoa mimba??
kwaiyo jamaa naomba tumshauri! daah basi amsamehe!maana kama kaomba tumshauri amvumilia katika shida na laha,katika matatizo na amani!Hahahaaa mke wa mtu huyo.....na mumewe ndo huyo mleta mada
daah! pole sana mkuu mimi ninaamini wewe ni mcha Mungu! mpaka umekuja kuomba ushauri jambo zito hili namna hii!Habari ndugu zangu,
Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.
Nashindwa kwa kuanzia
Inaweza kuwa ngumu hasa kama mazahouse ndio dangoteHakuna ushauri mwingine zaidi ya kumwacha.
Police watairusha kwa dawati la jinsia nao watatafuta wasuluhishi ambao nao wataomba viongozi wa dini waokoe jahazi, mwisho wa yote watajikuta ni ishu ya kumaliza wao wenyewe wawiliMpeleke police
Wewe una mke?kwaiyo jamaa naomba tumshauri! daah basi amsamehe!maana kama kaomba tumshauri amvumilia katika shida na laha,katika matatizo na amani!