Sidhani kama una akili timamu mzee.Oa uclaim mke hujaoa so mke wa wote hata akiolewa ni mke wako so you have a right to complain to the world posa hata ima anaweza toa .
Maisha ya sasa ni kudhubutu umeelewa sio upuuzi upuuzi unaumiza watu hapa akili zao wakuupe ushauri hewa.
Ushimen na Mshana Jr na wengine wameoa kiuhalali wamefuata process wakilalamika wanahaki sio wewe
What are you waiting for !?Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Dah ila usiache kumuhudumia hadi atakapo jifungua ujithibitishe kama mtoto ni wako au wa Imma inaonyesha hao walikuwa bado Wana pasha kiporo!, je huyo Imma kwa Sasa yupo wapi!? Pole Sana mkuuUPDATE.
[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....
HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Mle tigo iyo adhabu itamfaa sanaWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Support point yakoWe jamaa ni boya sana ukiendelea hici utaua na wewe utakufa kwa ajili ya upuuzi.
Eti ukawahi kuangalia sms hivi we ni mzima kweli?? .
Huyo mwanamke alitakiwa akuache hapohapo.
Mwamba unasila umesema kwa jaziba sana poleHii nafasi ningeipata mimi tena na ushahidi upo wazi kabisa hakuna hata haja ya kuomba ushauri JF nakupiga tofali mazima hapohapo kmmk hawa viumbe sio wa kuwachekea hata kidogo, mwanamke akishabanduliwa nje huyo si wako tena, viburi na jeuri vitaanza ndani ya nyumba na huo ndio mwanzo wa kufa mapema, Aisee wanaume hatupaswi kuishi na stress za kimapenzi, mimi kipindi niko zangu Morogoro kwenye mihangaiko jamaa zangu Mwanza walinicheki hewani, wakanambia bro muenendo anaonesha shemeji yetu hauridhishi na unawapa mashaka, nikawaambia elezeni yote mliyoyaona.
Na mimi machale yakaanza kunicheza huwa kila nikichati nae usiku ikifika saa tatu anajifanya amechoka anataka kulala kumbe ndio ulikuwa muda wa kuonana na hawala yake, baadae ukimpigia simu kuanzia saa nne na kuendelea huwa hapatikani hewani, asubuhi ukimuuliza anakwambia simu iliishiwa chaji.
Basi bhana siku moja hawala yake alimfata ili waende klabu usiku, kumbe yule bodaboda aliyewabeba ananifahamu vema na ana namba yangu ya simu, alipowashusha tu maeneo ya Villa Park pale kirumba jamaa akanicheki hewani na kunieleza ABC, palepale nilimpigia wife simu hakupokea kisha akawa amezima simu, kmmmk nilimuandikia sms za kufahamu kila kitu asubuhi alipowasha simu akakutana nazo akajidai kunipigia sikupokea simu yake. Huwa sipendi ufala ktk mahusiano yule maku nilimuacha kabla hata ya kufika Mwanza, wanaume lazima tuwe na maamuzi magumu kmmmk usiogope kuumia moyo kwani moyo hautouma milele.
Mimi ushauri wangu jamaa anatakiwa apige chini huyo mbwa akiendelea kuishi nae atakufa mapema mana tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili. Nasema piga chiniiiiiiii mbwa huyo.
umesound deep kichizi pole mwambaHii nafasi ningeipata mimi tena na ushahidi upo wazi kabisa hakuna hata haja ya kuomba ushauri JF nakupiga tofali mazima hapohapo kmmk hawa viumbe sio wa kuwachekea hata kidogo, mwanamke akishabanduliwa nje huyo si wako tena, viburi na jeuri vitaanza ndani ya nyumba na huo ndio mwanzo wa kufa mapema, Aisee wanaume hatupaswi kuishi na stress za kimapenzi, mimi kipindi niko zangu Morogoro kwenye mihangaiko jamaa zangu Mwanza walinicheki hewani, wakanambia bro muenendo anaonesha shemeji yetu hauridhishi na unawapa mashaka, nikawaambia elezeni yote mliyoyaona.
Na mimi machale yakaanza kunicheza huwa kila nikichati nae usiku ikifika saa tatu anajifanya amechoka anataka kulala kumbe ndio ulikuwa muda wa kuonana na hawala yake, baadae ukimpigia simu kuanzia saa nne na kuendelea huwa hapatikani hewani, asubuhi ukimuuliza anakwambia simu iliishiwa chaji.
Basi bhana siku moja hawala yake alimfata ili waende klabu usiku, kumbe yule bodaboda aliyewabeba ananifahamu vema na ana namba yangu ya simu, alipowashusha tu maeneo ya Villa Park pale kirumba jamaa akanicheki hewani na kunieleza ABC, palepale nilimpigia wife simu hakupokea kisha akawa amezima simu, kmmmk nilimuandikia sms za kufahamu kila kitu asubuhi alipowasha simu akakutana nazo akajidai kunipigia sikupokea simu yake. Huwa sipendi ufala ktk mahusiano yule maku nilimuacha kabla hata ya kufika Mwanza, wanaume lazima tuwe na maamuzi magumu kmmmk usiogope kuumia moyo kwani moyo hautouma milele.
Mimi ushauri wangu jamaa anatakiwa apige chini huyo mbwa akiendelea kuishi nae atakufa mapema mana tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili. Nasema piga chiniiiiiiii mbwa huyo.
inaonekana maamuzi unyota kuyafanya umeshayapangaNakubali mwamba....[emoji123]
Huu ndo uanaume sasa...Hii nafasi ningeipata mimi tena na ushahidi upo wazi kabisa hakuna hata haja ya kuomba ushauri JF nakupiga tofali mazima hapohapo kmmk hawa viumbe sio wa kuwachekea hata kidogo, mwanamke akishabanduliwa nje huyo si wako tena, viburi na jeuri vitaanza ndani ya nyumba na huo ndio mwanzo wa kufa mapema, Aisee wanaume hatupaswi kuishi na stress za kimapenzi, mimi kipindi niko zangu Morogoro kwenye mihangaiko jamaa zangu Mwanza walinicheki hewani, wakanambia bro muenendo anaonesha shemeji yetu hauridhishi na unawapa mashaka, nikawaambia elezeni yote mliyoyaona.
Na mimi machale yakaanza kunicheza huwa kila nikichati nae usiku ikifika saa tatu anajifanya amechoka anataka kulala kumbe ndio ulikuwa muda wa kuonana na hawala yake, baadae ukimpigia simu kuanzia saa nne na kuendelea huwa hapatikani hewani, asubuhi ukimuuliza anakwambia simu iliishiwa chaji.
Basi bhana siku moja hawala yake alimfata ili waende klabu usiku, kumbe yule bodaboda aliyewabeba ananifahamu vema na ana namba yangu ya simu, alipowashusha tu maeneo ya Villa Park pale kirumba jamaa akanicheki hewani na kunieleza ABC, palepale nilimpigia wife simu hakupokea kisha akawa amezima simu, kmmmk nilimuandikia sms za kufahamu kila kitu asubuhi alipowasha simu akakutana nazo akajidai kunipigia sikupokea simu yake. Huwa sipendi ufala ktk mahusiano yule maku nilimuacha kabla hata ya kufika Mwanza, wanaume lazima tuwe na maamuzi magumu kmmmk usiogope kuumia moyo kwani moyo hautouma milele.
Mimi ushauri wangu jamaa anatakiwa apige chini huyo mbwa akiendelea kuishi nae atakufa mapema mana tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili. Nasema piga chiniiiiiiii mbwa huyo.
Piga makofiWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Mkuu bado tu hujapata? Lile tangazo lako limeleta mafanikio? Nikivyosoma nikaonakumve hata sie 40+ bado tuna nafasi [emoji1787][emoji1787]Wakati tulio nje tunatamani kuingia, waliondani wanachezea bahati zao... Haya maisha haya!
Chukua maamuzi magumu huyo siyo wako huenda hata hiyo mimba ni ya ima mwanamke akianza uchepukaji ni hatari na Huwa hawaachi hawa viumbe wana mioyo migumu.[emoji848] Staki kumpa nafasi kumsikiliza tena kwenye hilo maana nilishampa nafasi nilipofika tu ye akadanganya ni shemeji yake kama nisingekuwa na ushahidi wa WhatsApp basi alikuwa ashanipiga chenga. Nikimpa nafasi tena atadanganya tu hapa nafikiria maamuzi tu ya kuchukua bs.
Hajapewa? Na ufundi wa kitandani wa mke wa jamaa kaujuaje?Unless kama ulimuoa akiwa na bikra zake mbili, ila hawa wanawake waliokula mileage kuna namna ya kukaa nao. Kama haja cheat wakati mkiwa kwenye ndoa tullia tu. Pengine huyo boya anasukumwa na nyege zake kutongoza mke wako na penzi hajapewa baada ya ndoa. Usifanye maamuzi ukiwa na hasira, endelea ku uncover information mpaka mwisho.
KahadithiwaHajapewa? Na ufundi wa kitandani wa mke wa jamaa kaujuaje?
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyo