Mke wangu amekuta nimepiga namba ya x wangu

Mke wangu amekuta nimepiga namba ya x wangu

Sasa kama hukuwa na hiyo number amejuaje kuwa ni ya X au umesevu real name badala ya fundi gari...?
Afu una bahati mbaya kiasi gani yani upige tu simu mara moja tena haukupokelewa na ukamatwe? au anachunguza simu yako daily...kama ndiyo kwa nini umekuwa mzembe sasa ...

Maana tunajua mwizi zake 40 sasa wewe unakamatwa siku ya kwanza...


Sikuwa nayo ila nilikutana na jamaa anayemfahamu x akanirlezea matatixo ylomkuta ndo nikaamua nimpe pole, shida ikaanzia hapo
 
Haukua mwaminifu ndo mana hukufuta namba zake kichwani Wala kwenye simu....ata me ningenuna au
Kwa nn ulivyomaliza kuongea nae usiifute kabisa....ulihifadhi kwa matumizi ya baadae eenh?
 
Hayo ndo matatizo ya kubembeleza mwanamke kila wakati hata kwenye jambo dogo kama hili ananuna ili umbembeleze.
 
Usiache hali hii iendelee Mkuu. Omba kukaa chini na mkeo ili mzungumzie makosa yako. Mwambie umekosa na uombe samahani. Pia mwambie hali ya kuishi hivyo mnavyoishi sasa ya kutosemeshana na kutaniana huipendi na unaomba mrudie katika hali iliyopo katika ndoa yenu kabla ya kutenda hili kosa. Kila la heri.

Tunakaa pamoja, ila nikitoka kazini ni salaam tu nalala naye analala, wakati ss ni watu tuliozoea kutaniana
 
Kama umeachana na mtu kwanini waendelea mtafuta?
Mimi sipendi urafiki na jinsia tofauti na mimi na sana sana urafiki wa mazoea.
 
Hiyo ishu inasovika kirahisi sana....ebu nikuulize mna watoto,mtoto??
 
Kazi ndogo sana hio 1)jifanye unaumwa hoi hata kuongea huwezi ili ujue atatoa msaada gani akitoa msaada ndo hapo hapo mnaanza kuongea, au nenda kamfanyie shopping ya kustukiza alafu mpe ukimpa mwambie mke wangu nakupenda sana ndo maana najutia nilichofanya. Au. Fanya kama unataka kumtongoza tena ukijifanya mnyenyekevu vyote ue kama masihara

hiyo ya kuumwa itakuwa ngumu, mie wangu akifanya kosa halafu akajifanya anaumwa na mie nasafiri hata week dada zake wanakuja kumhudumia mgonjwa feki. anachotakiwa ni ku-apologize na dhahabu juu, siyo apology ya maneno tu....
 
usikute wife hapo anapata nafasi ya kuchepuka, kwa hiyo anakununia ili huko anakoenda usimsumbue
 
Back
Top Bottom