Mke wangu amekuta nimepiga namba ya x wangu

Mke wangu amekuta nimepiga namba ya x wangu

Akurutogo

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
199
Reaction score
103
Mke wangu kanuna ana kama siku ya nne sasa, yani kwa siku tunaongea maneno yasiyozidi 20 tu.

Kisa ni kukuta namba ya x wangu, niliambiwa kapata matatizo nikaamua kumpigia ili nimpe pole na kwa bahati nzuri hakupokea.

Tulikwisha apishana na mke wangu hakuna kuongea na hao watu wazama, lakini hapa nikataka nifanye ubinadamu lakini kilichotokea, nashindwa hata kuamini, natamani nisafiri ili nisimuone alivyonuna, lakini sina jinsi.

Tuna miaka miwili ya ndoa.

Naomba ushauri kabla sijamua yakwangu
 
Kati ya vitu huwa sifanyi ni kuwa na mawasiliano na x wangu! Labda itokee nisikie kwa bahati mbaya amekufa daima sitokubali mpenzi wangu awe na mawasiliano na x wake, inawezekana nipo tofauti na watu wengi ila ndivyo nilivyo.
 
Umevunja kiapo ni vigumu kumshawishi kwamba hamuendelei na uhusiano. Kuwa makini tafuta amani mana wanawake wakiamua kufanya kweli(unyama) hata shetani huogopa, siku nane ni nyingi sana umewezaje kuhimili au hamkai pamoja!!!
 
Kazi ndogo sana hio 1)jifanye unaumwa hoi hata kuongea huwezi ili ujue atatoa msaada gani akitoa msaada ndo hapo hapo mnaanza kuongea, au nenda kamfanyie shopping ya kustukiza alafu mpe ukimpa mwambie mke wangu nakupenda sana ndo maana najutia nilichofanya. Au. Fanya kama unataka kumtongoza tena ukijifanya mnyenyekevu vyote ue kama masihara
 
Ukiondoka na kumwacha ndo utazidi kuzidisha ugomvi.....bora utumie kila jitihada umuombe msamaha....myamalize....
 
Mbembeleze kwa maneno matamu! Mueleweshe vizuri akuelewe! Kwamba hukuwa na nia mbaya! Atakuelewa
 
Kazi ndogo sana hio 1)jifanye unaumwa hoi hata kuongea huwezi ili ujue atatoa msaada gani akitoa msaada ndo hapo hapo mnaanza kuongea, au nenda kamfanyie shopping ya kustukiza alafu mpe ukimpa mwambie mke wangu nakupenda sana ndo maana najutia nilichofanya. Au. Fanya kama unataka kumtongoza tena ukijifanya mnyenyekevu vyote ue kama masihara

Mkuu homa/kuugua ni stage ya mwisho kabisa kusuluhisha migogoro ya mahusiano/ndoa mapema sana kuitumia ndoa miaka miwili tu,
 
Umevunja kiapo ni vigumu kumshawishi kwamba hamuendelei na uhusiano. Kuwa makini tafuta amani mana wanawake wakiamua kufanya kweli(unyama) hata shetani huogopa, siku nane ni nyingi sana umewezaje kuhimili au hamkai pamoja!!!

Tunakaa pamoja, ila nikitoka kazini ni salaam tu nalala naye analala, wakati ss ni watu tuliozoea kutaniana
 
kwanini ulibaki na namba ya x ukishaoa unatakiwa uifute kwenye simu na akilini

Sikuwa nayo ila nilikutana na jamaa anayemfahamu x akanirlezea matatixo ylomkuta ndo nikaamua nimpe pole, shida ikaanzia hapo
 
Kazi ndogo sana hio 1)jifanye unaumwa hoi hata kuongea huwezi ili ujue atatoa msaada gani akitoa msaada ndo hapo hapo mnaanza kuongea, au nenda kamfanyie shopping ya kustukiza alafu mpe ukimpa mwambie mke wangu nakupenda sana ndo maana najutia nilichofanya. Au. Fanya kama unataka kumtongoza tena ukijifanya mnyenyekevu vyote ue kama masihara

This is gud idea
 
acha umalaya

Sie umalaya mkuu, naridhika na mke 2angu na nampenda na huwa sipendi nimuufhi kw mambo ya kimapenzi hasa michepuko, huyo x alipata matatizo nikakutana na rfk yake akaniambia na kunipa # yake, nikampigia ili kumpa pole, kumbe mke wangu namba yake anayo aliichukua toka enzu hizo tunaoana,
Alipoikuta imepigwa ikaleta shida kwelikweli
 
Back
Top Bottom