MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
yan umevunja kiapo badala ya kusetle mambo home kwako ajabu unataka kusafiri?? uende wapi wakati nyumbani kumewaka moto??
yan unakimbia tatizo kwa maana hiyo huwezi kutatua mambo kwa familia yako.
aiseeee kazi ipo mwanaume ataivunja ndoa yake yeye mwenyew hakika