Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini

Status
Not open for further replies.
nlitaka nitoe ushauri ila nimeona unasikitika unafiki, una ubinafsi na hauamui mambo kwa haki!
wewe ulipojichua hukuumia hadi ukahama home???

ila alivyojichua yeye na nyumban hukulala!! mungu unayemuomba hapa ni yupi??

kwa nini hauko tayari kumsikiliza endapo ni kweli huwezi kumuandaa ukajirekebisha pengine hyo kumtomasa unavamia kama unabonyeza fenesi!! mahirikishe mungu kwa sala maalum kila asubuhi, usiku wa manane hayo mapepo yatawaondoka wote wawili mmevurugwa. amina
 
Wait a minute: UNAJICHUA UNAPIGA BAO TATU!??????
 
pole sana jarbu kuendelea na chama chete cha chawaputa
 
Una umri gani? mkeo anakwambia humwandai, kwa maana nyingine anataka uende chumvini. Yani hata lugha ya picha huoni?
 
Kaa nae muongee zaidi akwambie alianza lini hiyo tabia.....haiwezekani kwa siku moja tu ndo mizuka ipungue hvyo.....na kama una mashaka na ndoa embu ongeza muda kwanza wakati mnatatua tatizo liliopo....

Pole sana.......

Huyo hampendi jamaa
 
hakuna kitu kinachoumiza katika mahusiano kama kuonekana huwezi kitu wakati wewe mwenyewe unajiona fundi... Cha kufanya jaribu kumjenga kwenye maneno mazuri, msifie kuwa unamuhitaji na hutaki kumuona akikuponyoka... Endelea kula mzigo hata kama ni kwa kulazimisha kwa kuwa ndio njia nzuri ya kuendelea kumuweka kwenye himaya yako otherwise kubula kushindwa
 
hapo hakuna jinsi tafuta friendly matches upime kiwango chako kabla ya majadiliano yoyote, sababu kama unaweza kwenda mshindo mara tatu masturbation haupo vibaya. maisha yapo kuyafurahia sio kukerana, ndoa sio zigo la misumari ni life partner. friendly matches walau 2 bila yeye kujua ili uwe na uhakika au upate maufundi mapya
 
Inaonekana kaka una tatizo though unaficha ficha lkn una madhaifu flani,jikubali jichunguze chukua hatua.

Tangu mwanzo wa story unajitetea,excuses nyingi bwana ongea nae myamalize tambua madhaifu yako,work on them Shemeji.
 
Brother inaoneka mnataniana sana wewe na mkeo,sioni kama mpo siriasi na tendo la ndoa.
 
hapo hakuna jinsi tafuta friendly matches upime kiwango chako kabla ya majadiliano yoyote, sababu kama unaweza kwenda mshindo mara tatu masturbation haupo vibaya. maisha yapo kuyafurahia sio kukerana, ndoa sio zigo la misumari ni life partner. friendly matches walau 2 bila yeye kujua ili uwe na uhakika au upate maufundi mapya
teh,...like
 
Habari wana JF,

Yaliyo nikuta usiku wa kuamkia leo sina wa kumueleza kwa heshima ya mke wangu na nyumba yangu, ila kwakua JF hakuna anaenifahamu wala kumfahamu mke wangu bila shaka sitokua namzalilisha wala kujidhalilisha ukizingatia kizazi chetu hiki hatuna wazee wala wataalamu wa kuwaamini zaid ya kutufilisi tu.

Katika maisha yangu niliapa na kuishi katika kiapo hiko mpaka leo kwamba nitamuheshimu mke wangu na sito msaliti kamwe ili watoto wetu wasidhurike pindi tutakapo achana kwani nimepanga kuishi na mke mpaka kifo na kua responsible kwa kila kitu cha familia yangu.

Mahusiano yetu yakuishi pamoja yalisababishwa na mimba pamoj na mapenzi tukaamua tuishi pamoja kwani tumeendana, niliulea ule ujauzito japo sikua na kazi.Mke wangu ni mvumilivu sana mwenye msimamo na uaminifu ili mbidi afanye kazi mpaka mimba ilipofika miezi nane ili alinde nyumba kwakua mimi nilikua naunga unga na vibiashara vinavokufa kufa.

Kipindi cha ujauzito mke wangu alikata hamu ya tendo la ndoa ikawa mpaka mara moja kwa miez mitatu labda atajisjia, hivo nilikua napata taabu ukizingatia mke wangu ni mzuri na mimba ilizidi kumpendezesha sa ilikua kazi kulala au kushinda nae hivi hivi maana tumeizoea kushinda bila nguo ama nguo za ndan tu.

Tatizo likaja mimi kulazimisha kufanya mapenzi yeye akiwa hataki akawa anakubali ili kuniridhisha bila ushirikiano na mimi nikawa nalazimisha kumaliza haraka ili nisipate shida, akawa ndo mchezo hamna kumuandaa kwasababu nikimshika anasema namkera na mimi zile sehemu zangu nnazopenda kugusa zoote nimekatazwa namkera.

Tatizo limeamia kwangu imekua mazoea na yeye bado anaendelea kudai namkera nikimshika huku akilalamika simuandai namuacha hajatosheka na maumivu maana nami hata speed imepungua sipandi mda mrefu tena sasa tunaenda mwaka na nusu zaidi tangu haya maisha ya kutokufurahia unyumba.

Juzi nilipata safari ya msiba nikaenda mkoa siku ya kurudi tangu jana yake tulichat mambo ya mapenzi nikamuambia umeniaamsha nakesho narudi mapema nikupe dozi isiyo ya msamaha maana nimezoea kumwambia sorry kila tukimaliza kwakua najua sijamfikisha. Sasa nilijiapiza kiasikolojia nikifika leo mke wangu atafurahi.

Nilipofika kanipokea fresh na mtoto alilala mapema basi nami nikaanza kua romantick kwa maneno na kumshika shika najua mpaka mida flani hivi atakua fresh, nashangaa alinigomea akasema hajiskii huku mimi nikiwa moto kwa hisia, hua situmii nguvu nikamwambia naumia ila kama hujisikia nitavumilia japo sio sawa kuniandaa kisaikolojia alafu unikatae.

Kitandani alilala mapema mimi usingizi uligoma sa hua tunalala utupu nikaona mlalo flani hivi nikajua labda anataka nikaanza kumchezea tena karibu robo saa akashtuka akazidi kunipiga biti nikatulia sa na mimi nikaona tabu ya nini nikajilipua na ''masterbation'' (kujichua) asubuhi nikamwambia tufanyeje ili nisijenikapotea nikarudia ''masterbation'' (kujichua) maana nilikua mwanachama wa muda mrefu hapo awali na ili tuokoe ndoa yetu.Alihuzunika akakasirika nikamplease nikamwambia sitorudia ila kila mmoja atimize wajibu wake.

Mimi usiku ule nilienda mishindo mitatu ya masterbation kwaivo nilikua hoi kesho yake wala siku mtamani sasa na yeye jioni akaanza kunipa amsha kimapenzi anataka sex nikajiminya kidume japo nilijihisi hamna kitu tukafanya safari ilikua ndefu kiasi sema sikumuandaa fresh kama kawaida akawa yupo moto bado mihoi coz nilijilazimisha.

Sa jana nikiwa kazini tukachat kimapenzi tena basi nikajua leo napewa mzigo na nitauandaa kweli kweli nirudi kama zamani kufika nyumbani kanigomea kasema hajisikii kabisa nikaamua kupanda kitandani kulala akaniita kochini akaniambia anakitu anataka kuniambia nikamsikiliza akaniambia hua hafurahii tendo la ndoa mpaka anakosa hamu kisa mi simwandai nilichoka nikalalamika nikamweleza tatizo yeye alijitetea na mwishoe akaniambia na yeye leo amefanya "Masterbation'' (kujichua) wakati mimi nipo kazini hivo hana hamu"

Niliona dunia giza ndoto ya familia yangu kua moja milele inasambaratika nikashindwa kulala nyumbani maana iliniuma nikijuchukulia kama si mwanaume usiku ule yaani ni kama mwanamke mwenzake maana simsisimui tena, nikalala gest asubuhi nimerudi kujiandaa yeye kanuna nipo kazini nimechoka machozi yanadondoka sijui hatma yangu na familia yangu tena wakati huu nnaojiandaa kulipa mahari na kufunga nae ndoa.

Mungu anisaidie.
Mkuu ni vyema ukasema ukweli ukasaidiwa.
Unadanganya unajichua mpaka unapiga bao 3 wakati mkeo anafurahia kujichua peke mwenyewe!!!hii ni dhahiri huna uwezo wa kumfikisha.
Pili kumwandaa tu unashindwa!!!kusimamia ukucha vizuri utaweza??
Ndio mana nikakwambia we sema ukweli,ukishindwa hapa njoo pm tukusaidie.
 
Pole ila nawe boya kiasi fulani? Uliapa maneno ambayo hayawezekani kiualisia. Mara nitampenda milele mara sitomsalt mke wangu loh wewe ni nani?

Anyway mkeo hana jini wala nini? Ni mpenda pono hata kabla hujamuoa sasa hisia zile ndo anazivuta ndo maana ukiwa job anakunyegesha ili apate stim. Kama nadanganya ingia kwenye sim yake kama hutokutana na porno? Wanaokulaumu humuandai sio kweli ambacho sijapenda ni maneno uloapa ndo yatakusumbua kwan wewe ni nani??
 
Habari wana JF,

Yaliyo nikuta usiku wa kuamkia leo sina wa kumueleza kwa heshima ya mke wangu na nyumba yangu, ila kwakua JF hakuna anaenifahamu wala kumfahamu mke wangu bila shaka sitokua namzalilisha wala kujidhalilisha ukizingatia kizazi chetu hiki hatuna wazee wala wataalamu wa kuwaamini zaid ya kutufilisi tu.

Katika maisha yangu niliapa na kuishi katika kiapo hiko mpaka leo kwamba nitamuheshimu mke wangu na sito msaliti kamwe ili watoto wetu wasidhurike pindi tutakapo achana kwani nimepanga kuishi na mke mpaka kifo na kua responsible kwa kila kitu cha familia yangu.

Mahusiano yetu yakuishi pamoja yalisababishwa na mimba pamoj na mapenzi tukaamua tuishi pamoja kwani tumeendana, niliulea ule ujauzito japo sikua na kazi.Mke wangu ni mvumilivu sana mwenye msimamo na uaminifu ili mbidi afanye kazi mpaka mimba ilipofika miezi nane ili alinde nyumba kwakua mimi nilikua naunga unga na vibiashara vinavokufa kufa.

Kipindi cha ujauzito mke wangu alikata hamu ya tendo la ndoa ikawa mpaka mara moja kwa miez mitatu labda atajisjia, hivo nilikua napata taabu ukizingatia mke wangu ni mzuri na mimba ilizidi kumpendezesha sa ilikua kazi kulala au kushinda nae hivi hivi maana tumeizoea kushinda bila nguo ama nguo za ndan tu.

Tatizo likaja mimi kulazimisha kufanya mapenzi yeye akiwa hataki akawa anakubali ili kuniridhisha bila ushirikiano na mimi nikawa nalazimisha kumaliza haraka ili nisipate shida, akawa ndo mchezo hamna kumuandaa kwasababu nikimshika anasema namkera na mimi zile sehemu zangu nnazopenda kugusa zoote nimekatazwa namkera.

Tatizo limeamia kwangu imekua mazoea na yeye bado anaendelea kudai namkera nikimshika huku akilalamika simuandai namuacha hajatosheka na maumivu maana nami hata speed imepungua sipandi mda mrefu tena sasa tunaenda mwaka na nusu zaidi tangu haya maisha ya kutokufurahia unyumba.

Juzi nilipata safari ya msiba nikaenda mkoa siku ya kurudi tangu jana yake tulichat mambo ya mapenzi nikamuambia umeniaamsha nakesho narudi mapema nikupe dozi isiyo ya msamaha maana nimezoea kumwambia sorry kila tukimaliza kwakua najua sijamfikisha. Sasa nilijiapiza kiasikolojia nikifika leo mke wangu atafurahi.

Nilipofika kanipokea fresh na mtoto alilala mapema basi nami nikaanza kua romantick kwa maneno na kumshika shika najua mpaka mida flani hivi atakua fresh, nashangaa alinigomea akasema hajiskii huku mimi nikiwa moto kwa hisia, hua situmii nguvu nikamwambia naumia ila kama hujisikia nitavumilia japo sio sawa kuniandaa kisaikolojia alafu unikatae.

Kitandani alilala mapema mimi usingizi uligoma sa hua tunalala utupu nikaona mlalo flani hivi nikajua labda anataka nikaanza kumchezea tena karibu robo saa akashtuka akazidi kunipiga biti nikatulia sa na mimi nikaona tabu ya nini nikajilipua na ''masterbation'' (kujichua) asubuhi nikamwambia tufanyeje ili nisijenikapotea nikarudia ''masterbation'' (kujichua) maana nilikua mwanachama wa muda mrefu hapo awali na ili tuokoe ndoa yetu.Alihuzunika akakasirika nikamplease nikamwambia sitorudia ila kila mmoja atimize wajibu wake.

Mimi usiku ule nilienda mishindo mitatu ya masterbation kwaivo nilikua hoi kesho yake wala siku mtamani sasa na yeye jioni akaanza kunipa amsha kimapenzi anataka sex nikajiminya kidume japo nilijihisi hamna kitu tukafanya safari ilikua ndefu kiasi sema sikumuandaa fresh kama kawaida akawa yupo moto bado mihoi coz nilijilazimisha.

Sa jana nikiwa kazini tukachat kimapenzi tena basi nikajua leo napewa mzigo na nitauandaa kweli kweli nirudi kama zamani kufika nyumbani kanigomea kasema hajisikii kabisa nikaamua kupanda kitandani kulala akaniita kochini akaniambia anakitu anataka kuniambia nikamsikiliza akaniambia hua hafurahii tendo la ndoa mpaka anakosa hamu kisa mi simwandai nilichoka nikalalamika nikamweleza tatizo yeye alijitetea na mwishoe akaniambia na yeye leo amefanya "Masterbation'' (kujichua) wakati mimi nipo kazini hivo hana hamu"

Niliona dunia giza ndoto ya familia yangu kua moja milele inasambaratika nikashindwa kulala nyumbani maana iliniuma nikijuchukulia kama si mwanaume usiku ule yaani ni kama mwanamke mwenzake maana simsisimui tena, nikalala gest asubuhi nimerudi kujiandaa yeye kanuna nipo kazini nimechoka machozi yanadondoka sijui hatma yangu na familia yangu tena wakati huu nnaojiandaa kulipa mahari na kufunga nae ndoa.

Mungu anisaidie.
nnaojiandaa kulipa mahari na kufunga nae ndoa, huyu kumbe sio mkeo.....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom