Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini

Status
Not open for further replies.
Poleni sana.lakini nadhani unachukulia haya mambo kiundani sana,au niseme your very emotional man,ambayo kwa dunia hii ya leo ningekushauri upunguze kiyasi,leo hilo unakosa raha na kutokwa na machozi ukija mkutwa anasangwa unaweza kufa kabisa.
kama unaweza kujichua bao 3 bado unajihisi sio mwanamme? mwenye lake hawachi huyo hakuanza hiyo kazi jana au juzi ameanza zamani
sasa anaanza kukuvutia majanini akuone reaction yako akianza na hili utafanyaje.... mweleze msimamo wako ukiwa kama mume au subiri kwanza
mambo ya Ndoa...........
 
Mhh pole sana ila una uhakika alifanya masturbation? Icje ikawa kuna kidume kina mumasterbenisha alaf anakudanganya ooh hackii ham kumbe kashapewa doz mchunguze sana mkeo kaka anaelekea pabaya!
Kiukweli namuamini kulingana na mazingira ya hapo nyumbani japo binadamu sisi ngoja nilifuatilie
 
nashindwa kuelewa kwako ilikua sawa masturbation ila kwake haijakaa sawa kwako... na ukwel amekwambia humwandai vya kutosha.... huko ulipofika ni mbali sana kusema ndoa ilo hatarin... what if angekwambia alilala na mwanaume mwengne kipi ni kibaya la msing kaen chini mkubaliane kumaliza tofaut zenu kwa maana kila mtu alitafuta starehe yake kwa namna yake kwa sababu ya kutoelewana mwanzon...
Nielewe ndugu mm nilifanya lakin aliponihitaji niliwajibika sehemu yangu ila yeye kaniona mi hamna kitu yaani kanidharau kabisaaa hajaniachia hata heshima yangu kidogo tu??
 
tatizo kubwa ni wewe na wala siyo mkeo... muhimu ni kutafuta namna ya kumridhisha mkeo nadhani anavyokuwa home alone anapata hizo hisia za kujichua .. jitahidi ukifanya hilo tendo unamridhisha ..... au umruhusu wakati mnafanya awe anamasterbate mbele yako huku ikiwa dushe lipo ndani na yeye anaendelea ...... ni ngumu lakini inaweza kuwa njia nzuri ya kutafuta suluhu .. as long as akucheat na mwanaume mwingine kama kweli ni finger anatumia we mwambie tu awe anafanya mbele yako......

ndoa ni kubebeana mengi
 
Tatizo hapo ni yeye kukunyima papuchi mara kwa mara kwa kisingizio cha kutojisikia na sio kujichua..
 
Nielewe ndugu mm nilifanya lakin aliponihitaji niliwajibika sehemu yangu ila yeye kaniona mi hamna kitu yaani kanidharau kabisaaa hajaniachia hata heshima yangu kidogo tu??

Tatizo unalichukulia tatzo lako ni kubwa zaid ya la kwake wewe uliweza kuwajibika kwa sababu una hamu nae ila yeye ameshakwambia kwamba humuandai vya kutosha unategemea nin? kwa ushaur embu acha kufikiria masturbation fikiria ni jinsi gan unaweza kumuandaa kwa maana kama ungekua unamuandaa vizur angekupa na asingejichua....
 
Habari wana JF,

Yaliyo nikuta usiku wa kuamkia leo sina wa kumueleza kwa heshima ya mke wangu na nyumba yangu, ila kwakua JF hakuna anaenifahamu wala kumfahamu mke wangu bila shaka sitokua namzalilisha wala kujidhalilisha ukizingatia kizazi chetu hiki hatuna wazee wala wataalamu wa kuwaamini zaid ya kutufilisi tu.

Katika maisha yangu niliapa na kuishi katika kiapo hiko mpaka leo kwamba nitamuheshimu mke wangu na sito msaliti kamwe ili watoto wetu wasidhurike pindi tutakapo achana kwani nimepanga kuishi na mke mpaka kifo na kua responsible kwa kila kitu cha familia yangu.

Mahusiano yetu yakuishi pamoja yalisababishwa na mimba pamoj na mapenzi tukaamua tuishi pamoja kwani tumeendana, niliulea ule ujauzito japo sikua na kazi.Mke wangu ni mvumilivu sana mwenye msimamo na uaminifu ili mbidi afanye kazi mpaka mimba ilipofika miezi nane ili alinde nyumba kwakua mimi nilikua naunga unga na vibiashara vinavokufa kufa.

Kipindi cha ujauzito mke wangu alikata hamu ya tendo la ndoa ikawa mpaka mara moja kwa miez mitatu labda atajisjia, hivo nilikua napata taabu ukizingatia mke wangu ni mzuri na mimba ilizidi kumpendezesha sa ilikua kazi kulala au kushinda nae hivi hivi maana tumeizoea kushinda bila nguo ama nguo za ndan tu.

Tatizo likaja mimi kulazimisha kufanya mapenzi yeye akiwa hataki akawa anakubali ili kuniridhisha bila ushirikiano na mimi nikawa nalazimisha kumaliza haraka ili nisipate shida, akawa ndo mchezo hamna kumuandaa kwasababu nikimshika anasema namkera na mimi zile sehemu zangu nnazopenda kugusa zoote nimekatazwa namkera.

Tatizo limeamia kwangu imekua mazoea na yeye bado anaendelea kudai namkera nikimshika huku akilalamika simuandai namuacha hajatosheka na maumivu maana nami hata speed imepungua sipandi mda mrefu tena sasa tunaenda mwaka na nusu zaidi tangu haya maisha ya kutokufurahia unyumba.

Juzi nilipata safari ya msiba nikaenda mkoa siku ya kurudi tangu jana yake tulichat mambo ya mapenzi nikamuambia umeniaamsha nakesho narudi mapema nikupe dozi isiyo ya msamaha maana nimezoea kumwambia sorry kila tukimaliza kwakua najua sijamfikisha. Sasa nilijiapiza kiasikolojia nikifika leo mke wangu atafurahi.

Nilipofika kanipokea fresh na mtoto alilala mapema basi nami nikaanza kua romantick kwa maneno na kumshika shika najua mpaka mida flani hivi atakua fresh, nashangaa alinigomea akasema hajiskii huku mimi nikiwa moto kwa hisia, hua situmii nguvu nikamwambia naumia ila kama hujisikia nitavumilia japo sio sawa kuniandaa kisaikolojia alafu unikatae.

Kitandani alilala mapema mimi usingizi uligoma sa hua tunalala utupu nikaona mlalo flani hivi nikajua labda anataka nikaanza kumchezea tena karibu robo saa akashtuka akazidi kunipiga biti nikatulia sa na mimi nikaona tabu ya nini nikajilipua na ''masterbation'' (kujichua) asubuhi nikamwambia tufanyeje ili nisijenikapotea nikarudia ''masterbation'' (kujichua) maana nilikua mwanachama wa muda mrefu hapo awali na ili tuokoe ndoa yetu.Alihuzunika akakasirika nikamplease nikamwambia sitorudia ila kila mmoja atimize wajibu wake.

Mimi usiku ule nilienda mishindo mitatu ya masterbation kwaivo nilikua hoi kesho yake wala siku mtamani sasa na yeye jioni akaanza kunipa amsha kimapenzi anataka sex nikajiminya kidume japo nilijihisi hamna kitu tukafanya safari ilikua ndefu kiasi sema sikumuandaa fresh kama kawaida akawa yupo moto bado mihoi coz nilijilazimisha.

Sa jana nikiwa kazini tukachat kimapenzi tena basi nikajua leo napewa mzigo na nitauandaa kweli kweli nirudi kama zamani kufika nyumbani kanigomea kasema hajisikii kabisa nikaamua kupanda kitandani kulala akaniita kochini akaniambia anakitu anataka kuniambia nikamsikiliza akaniambia hua hafurahii tendo la ndoa mpaka anakosa hamu kisa mi simwandai nilichoka nikalalamika nikamweleza tatizo yeye alijitetea na mwishoe akaniambia na yeye leo amefanya "Masterbation'' (kujichua) wakati mimi nipo kazini hivo hana hamu"

Niliona dunia giza ndoto ya familia yangu kua moja milele inasambaratika nikashindwa kulala nyumbani maana iliniuma nikijuchukulia kama si mwanaume usiku ule yaani ni kama mwanamke mwenzake maana simsisimui tena, nikalala gest asubuhi nimerudi kujiandaa yeye kanuna nipo kazini nimechoka machozi yanadondoka sijui hatma yangu na familia yangu tena wakati huu nnaojiandaa kulipa mahari na kufunga nae ndoa.

Mungu anisaidie.
IMG-20151127-WA0030.jpg

kwa hiyo tulia mkae chini muanze upya mjue mlikosea wapi mtakuwa sawa

haya mambo ya kusema familia imesambaratika umeyatoa wapi?
 
Nielewe ndugu mm nilifanya lakin aliponihitaji niliwajibika sehemu yangu ila yeye kaniona mi hamna kitu yaani kanidharau kabisaaa hajaniachia hata heshima yangu kidogo tu??
hajakudharau mkuu hata kidogo .. wanawake hatuna uwezo wa kusema jambo huwa tunakaa nalo mda mrefu inawezekana umekuwa mtu wa kuto mridhisha mwenzio kwa mda mrefu mpaka akamamua kuchukua uwamuzi huo .... ni bora ukatafuta suluhu kwa upole .. kama anajichua si jambo la siku moja la kuacha
 
Habari wana JF,

Yaliyo nikuta usiku wa kuamkia leo sina wa kumueleza kwa heshima ya mke wangu na nyumba yangu, ila kwakua JF hakuna anaenifahamu wala kumfahamu mke wangu bila shaka sitokua namzalilisha wala kujidhalilisha ukizingatia kizazi chetu hiki hatuna wazee wala wataalamu wa kuwaamini zaid ya kutufilisi tu.

Katika maisha yangu niliapa na kuishi katika kiapo hiko mpaka leo kwamba nitamuheshimu mke wangu na sito msaliti kamwe ili watoto wetu wasidhurike pindi tutakapo achana kwani nimepanga kuishi na mke mpaka kifo na kua responsible kwa kila kitu cha familia yangu.

Mahusiano yetu yakuishi pamoja yalisababishwa na mimba pamoj na mapenzi tukaamua tuishi pamoja kwani tumeendana, niliulea ule ujauzito japo sikua na kazi.Mke wangu ni mvumilivu sana mwenye msimamo na uaminifu ili mbidi afanye kazi mpaka mimba ilipofika miezi nane ili alinde nyumba kwakua mimi nilikua naunga unga na vibiashara vinavokufa kufa.

Kipindi cha ujauzito mke wangu alikata hamu ya tendo la ndoa ikawa mpaka mara moja kwa miez mitatu labda atajisjia, hivo nilikua napata taabu ukizingatia mke wangu ni mzuri na mimba ilizidi kumpendezesha sa ilikua kazi kulala au kushinda nae hivi hivi maana tumeizoea kushinda bila nguo ama nguo za ndan tu.

Tatizo likaja mimi kulazimisha kufanya mapenzi yeye akiwa hataki akawa anakubali ili kuniridhisha bila ushirikiano na mimi nikawa nalazimisha kumaliza haraka ili nisipate shida, akawa ndo mchezo hamna kumuandaa kwasababu nikimshika anasema namkera na mimi zile sehemu zangu nnazopenda kugusa zoote nimekatazwa namkera.

Tatizo limeamia kwangu imekua mazoea na yeye bado anaendelea kudai namkera nikimshika huku akilalamika simuandai namuacha hajatosheka na maumivu maana nami hata speed imepungua sipandi mda mrefu tena sasa tunaenda mwaka na nusu zaidi tangu haya maisha ya kutokufurahia unyumba.

Juzi nilipata safari ya msiba nikaenda mkoa siku ya kurudi tangu jana yake tulichat mambo ya mapenzi nikamuambia umeniaamsha nakesho narudi mapema nikupe dozi isiyo ya msamaha maana nimezoea kumwambia sorry kila tukimaliza kwakua najua sijamfikisha. Sasa nilijiapiza kiasikolojia nikifika leo mke wangu atafurahi.

Nilipofika kanipokea fresh na mtoto alilala mapema basi nami nikaanza kua romantick kwa maneno na kumshika shika najua mpaka mida flani hivi atakua fresh, nashangaa alinigomea akasema hajiskii huku mimi nikiwa moto kwa hisia, hua situmii nguvu nikamwambia naumia ila kama hujisikia nitavumilia japo sio sawa kuniandaa kisaikolojia alafu unikatae.

Kitandani alilala mapema mimi usingizi uligoma sa hua tunalala utupu nikaona mlalo flani hivi nikajua labda anataka nikaanza kumchezea tena karibu robo saa akashtuka akazidi kunipiga biti nikatulia sa na mimi nikaona tabu ya nini nikajilipua na ''masterbation'' (kujichua) asubuhi nikamwambia tufanyeje ili nisijenikapotea nikarudia ''masterbation'' (kujichua) maana nilikua mwanachama wa muda mrefu hapo awali na ili tuokoe ndoa yetu.Alihuzunika akakasirika nikamplease nikamwambia sitorudia ila kila mmoja atimize wajibu wake.

Mimi usiku ule nilienda mishindo mitatu ya masterbation kwaivo nilikua hoi kesho yake wala siku mtamani sasa na yeye jioni akaanza kunipa amsha kimapenzi anataka sex nikajiminya kidume japo nilijihisi hamna kitu tukafanya safari ilikua ndefu kiasi sema sikumuandaa fresh kama kawaida akawa yupo moto bado mihoi coz nilijilazimisha.

Sa jana nikiwa kazini tukachat kimapenzi tena basi nikajua leo napewa mzigo na nitauandaa kweli kweli nirudi kama zamani kufika nyumbani kanigomea kasema hajisikii kabisa nikaamua kupanda kitandani kulala akaniita kochini akaniambia anakitu anataka kuniambia nikamsikiliza akaniambia hua hafurahii tendo la ndoa mpaka anakosa hamu kisa mi simwandai nilichoka nikalalamika nikamweleza tatizo yeye alijitetea na mwishoe akaniambia na yeye leo amefanya "Masterbation'' (kujichua) wakati mimi nipo kazini hivo hana hamu"

Niliona dunia giza ndoto ya familia yangu kua moja milele inasambaratika nikashindwa kulala nyumbani maana iliniuma nikijuchukulia kama si mwanaume usiku ule yaani ni kama mwanamke mwenzake maana simsisimui tena, nikalala gest asubuhi nimerudi kujiandaa yeye kanuna nipo kazini nimechoka machozi yanadondoka sijui hatma yangu na familia yangu tena wakati huu nnaojiandaa kulipa mahari na kufunga nae ndoa.

Mungu anisaidie.
inaonekana tatizo ni kubwa kwenye ndoa yako mkuu
 
Jamaa unaeza kuwa Katibu Mkuu wa Chaputa,,,Unajipimia Size yako Goal 3? Hhaahh
 
View attachment 319476

kwa hiyo tulia mkae chini muanze upya mjue mlikosea wapi mtakuwa sawa

haya mambo ya kusema familia imesambaratika umeyatoa wapi?
mimi sioni sababu ya familia yake kusambaratika sababu mwanamke amaeona si vyema kucheat na mwanaume mwingine ila atumie viungo vyake vya mwili kujiridhisha...... hapa tatizo ni kidume .. kumridhisha mwanamke si rahisi kiivyo hsia zetu zipo mbali sana sasa unaweza kuta jamaa anafika anamshika shika anapotaka yeye kumbe binti anapenda ashikwe na vidole ukeni na hapa na pale ila jamaa hafiki huko .. ha haha ncheke mie mchaga na mapenzi
 
Mkuu usihofu sana, shemeji kufanya masterbation ili kukata kiu sio mbaya kuliko kutoka nje. Jaribu kuwa innovative badili mazingira, muulize akitaka masterbation mfanyie wewe then unaishia katikati akiwa high alafu unasex nae taratibu. Jaribu kutumia iceberg, asali kumchezea navyo trust me hatapenda tena bation atarudi kama mwanzo tena with high spirit.
Note: kama hujaelewa ice na asali unatumiaje nichek pm.
 
Kulialia hakupunguzi tatizo mke wako amekuweka wazi kuwa humwandai inawezekana unapomshika sipo panapomsisimua swala la msingi jitahidi kujua au kumuuliza maeneo yanayomsisumua kimapenzi
-Mapenzi hayana formula
Hasemi ashikwe wapi yaan namaliza mwili wake woote na kama sehemu atosema kuna mkera nikishika hapo hapo atasema namboa ana kunja uso...dahhh roho inauma yaan
 
mimi sioni sababu ya familia yake kusambaratika sababu mwanamke amaeona si vyema kucheat na mwanaume mwingine ila atumie viungo vyake vya mwili kujiridhisha...... hapa tatizo ni kidume .. kumridhisha mwanamke si rahisi kiivyo hsia zetu zipo mbali sana sasa unaweza kuta jamaa anafika anamshika shika anapotaka yeye kumbe binti anapenda ashikwe na vidole ukeni na hapa na pale ila jamaa hafiki huko .. ha haha ncheke mie mchaga na mapenzi
et familia imesambaratika nimemshangaa sana...
wakati huo huo na yeye amesema amapiga puli bao 3 hahahaha...
 
Hapa vipimo vinaonyesha mke wako ametawaliwa na jinn mahaba wa mahabati (dume) hivyo anatakiwa atolewe ufurahie ndoa yako, njia sikupi mimi bali enenda kulingana na imani yako utafanikiwa
Kua siriaz aisey sitanii
 
Kaka umeandikaa mengi akiri yakoo hapoo sawa wewe..kumbe wewe ujichueee akijichuaa yeye unaenda Guest..Are you serious???mi nikajuaa la.maana..ningekuelewaa Kama Na wewe iyoo tabiaa hufanyi kwa kuwa unaifanyaa..wotee ngojaa drop..sasa Shida nini
 
Suluhu namba moja kabisa ya tatizo au mgogoro wa aina yyt daima dumu ni kumaliza kidiplomasia, unatenga muda mwingi tu wa kuwa na familia yako, mnatoka walau matembezi ya amani mnazungumza na mnamaliza kwa amani tu, sina hakika kama kulala kwako guest kutakusaidia kulikabili tatizo linalokukumba zaidi ya kuongeza ukubwa wa tatizo. Nenda nae ufukweni au popote palipo na utulivu muongee, usilazimishe aina ya maongezi hususan toka kwake(responce),kuwa mbunifu, kwa kufanya hivi mara kadhaa utagundua maswahibu yanayowakumba na natumaini mtapunguza ama kumaliza tatizo
You are good man. Ntajitahid
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom