Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini

Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini

Status
Not open for further replies.
hajakudharau mkuu hata kidogo .. wanawake hatuna uwezo wa kusema jambo huwa tunakaa nalo mda mrefu inawezekana umekuwa mtu wa kuto mridhisha mwenzio kwa mda mrefu mpaka akamamua kuchukua uwamuzi huo .... ni bora ukatafuta suluhu kwa upole .. kama anajichua si jambo la siku moja la kuacha
possible kabisaa aiseee....mi kamani mke wangu najua kuna tatizokubwa hapo.....wanawake hawako hivo unless ni porn addict na kujichua addict...mwanamke akiwa ana hamu utapenda mwenyewe yani...
 
possible kabisaa aiseee....mi kamani mke wangu najua kuna tatizokubwa hapo.....wanawake hawako hivo unless ni porn addict na kujichua addict...mwanamke akiwa ana hamu utapenda mwenyewe yani...
kwanza ile kitu inapokea vyema mwenzie ..
 
Kiongozi, unapiga bao tatu kwa mkono? Dah...!
Hivi wanawake nao wanatumia revola..lol
 
Ww una makosa na yeye ana makosa. Masturbation ukifanya ww ni sawa, lkn akifanya yy si sawa!!! Ni ajabu aiseee!. Adui wa ndoa yenu ni ninyi nyote wawili. Kuna uwezekano mkeo ana tatizo la masturbation addiction kias kwamba amepoteza kusisimka anaposhikwa na mtu baki kwakuwa amezoea kujichezea mwenyewe! jambo hili lina madhara makubwa sana kihisia japo watu wengi hawajui. Vilevile huenda hisia baada ya kujifungua hazijarudi vzuri. Mm mke wangu wakati akiwa mjamzito, kila eneo ninalojaribu kumtomasa alikuwa anakataa anasema baadala ya kumsisimua anahisi kutekenywa! Kwa mantiki hiyo sishangazwi na hayo ya mkeo, huwa ni kawaida kwa wanawake wengi, huenda mwili wake haujarejea katika hali yake ya kawaida. Ushauri wangu kwako ni 1. Be wise 2. Be part of the solution not a problem 3. Usikarike, usikasirike, usikasirike 4. Kaa pamoja na mkeo, mjadili kwa uwazi tena mkiwa na furaha kabisa suala la unyumba na kulegalega kwa furaha ya kitanda chenu 5. Katika mijadala yenu usimuone kuwa mwenzako ndio mkosaji, tambua kuwa na ww ni mkosaji.
Kila la kheri mkuu
 
wataalamu wanasema wanawake ni wanachama wazuri sana kwenye chama cha puli

Hilo tatizo la mkeo na wewe yote ni madogo mkiwa na nia ya kuyashghulikia kwa pamoja

Kikubwa ni kuacha na ku sema ''backtotheroot''
 
Mbona hakuna tatizo muachie ajichezeshe aje na ndio umwingie inabidi sasa umsaidie na umuonyeshe hakuna tatizo kwa yeye kufanya hivyo huku ukimsaidia nawe akikusaidia kukuweka sawa akija tu ingia utaona utamu wake. Ni mchezo wa kawaida kwa wapendanao wala usiumie roho tafuta sehemu ya utakapopita hiyo yake na atatamani hata kama kajinanihihi
 
Fanya mazoezi ya viungo, kula vizuri na pata muda wa kupumzika. Kama unatumia pombe na sigara acha na wakati wa game muandae vyema mpaka atote ndio upande
 
wewe na yule Baba swalehe ni kitu kimoja.Kibamia lazima mke ajichuwe au hakukimbie kama LE BIG SHOW.

SWISSME
 
Kama wengine walivokushauri ni kweli your wife has a spiritual husband and she need and really must be delivered.
 
tatizo kubwa ni wewe na wala siyo mkeo... muhimu ni kutafuta namna ya kumridhisha mkeo nadhani anavyokuwa home alone anapata hizo hisia za kujichua .. jitahidi ukifanya hilo tendo unamridhisha ..... au umruhusu wakati mnafanya awe anamasterbate mbele yako huku ikiwa dushe lipo ndani na yeye anaendelea ...... ni ngumu lakini inaweza kuwa njia nzuri ya kutafuta suluhu .. as long as akucheat na mwanaume mwingine kama kweli ni finger anatumia we mwambie tu awe anafanya mbele yako......

ndoa ni kubebeana mengi
Miss chagga sikubaliani na wewe kuwa jamaa ndio mwenye makosa kwa mujibu wa maelezo yake anasema yupo tayari na anajitahidi kumtayarisha mkewe kwa game. Ila mkewe husema hayupo tayari, Hilo ndio kosa la mke kwasababu mwanaume ameshajitayarisha kuja kumpa utamu wa mapapaso na mchezo halafu wife anasema hayupo kwenye mod. Mimi nitakupa mfano wangu nilikuwa na ex wangu huyu tukifika ghetto basi lazima atakwenda kuoga. Tukianza mchezo basi hapo masaa mawili hadi matatu ndio tunamaliza, hatujawahi hata mara moja kufanya chini ya saa limoja. Lakini baadae tukaachana nikapata Mwanamke mwengine huyu ana tabia kama ya mke wa Baba jay'rose(mleta mada) ukimgusa atasema amechoka. Kila nikitaka kumtayarisha basi ana sababu lukuki mwisho ikawa napachika tu sijali kama kafika kileleni ama kwenye mizizi. Ila mleta mada amehumiwa kwa mkewe kufanya masturbation nae kajisahau kuwa anafanya kitu hicho hicho. kwanini kwako iwe okay kwa mkeo unaona doa yako ipo hatarini?
 
ilakuana wanawake basi wanashida .... jamaa kakosea kufanya masterbation na yeye .... nawaonea huruma wote
 
Kwanza pole

mke punyeto mume punyeto mchungeni tu mtoto nahisi mnamuandaa kua mwenyekiti wa chaputa primary!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom