'' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

'' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

unajua bwana hawa wanawake wana mambo ya ajabu sana!
ushauri wangu
1) mke ni rafiki yako na urafiki uliuopo lazima uwe na mipaka mfano mimi acheze na simu zake mda anaotaka ila inapofika muda wa jioni say saa mbili anapopika hadi tunapolala ni marufuku muda kupokea simu za ovyo zisizo na umuhimu like wise you, achana na u-busy wa simu uwapo home unless its important call na sio unapokea simu una aishia kuongea upuuzi na washikaji.
2)Achana na kupekua simu zake badala yake jikite kwenye ubize wa mambo yako mfano home work za kazini, reading novels watching movies za ukweli ambazo weird kidogo, battles, odds na sii maigizo kama haya ya kwetu, or do anything costractive such as kusafisha feni kwa kuifungua, kurepair electrical machines or music systems na si kufuta meza au kuosha friji fanya vya kiumeni tu. yeye mwenyewe atajiuliza kwanini siku hizi hukagui simu zake! remember number one is important.
3) katika wakati huu epuka kumpa informations ambazo alikua akizijua wakati mlipokua mna-share simu! either alikua anajua kwa kusoma msg zako,marafiki uliowa-add kwenye phonebook, issue unazofanya zote asijue maendeleo yake! ila majukumu yote yafanye kama kawaida bila kinyongo! b'live me hakuna kitu mwanamke hapendi kama kutojua yanayoendelea kwenye mawasilano na maendeleo yako! she always want to know in advance.

Atakapokuja kulalamika then ndo muda muafaka wa wote kuongea na ku-solve once and for all.

Kumbuka a man without codes........?



Nimeipenda hii!! A real woman can do everything on her own but a real man won't let her
 
kuna kitu anaficha huyo mama, kama matendo yake masafi haina haja ya kuhangaika hivo. ila huyo jamaa yako nae si atumie ya kwake. watagombana bure kisa simu. sio vizuri kufukunyuana.

.....#MindGames tu hizo, watu wengine bana..... Wakitingishiwa kibiriti wao "wanalipuka!"

Ukiwa kwenye mahusiano, #Muhimu ujitie "hamnazo" kidogo, la sivyo ndio mwanzo wa #Usukule wa akili!
 
''nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!

Sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!

Toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa

akinisikiliza! Ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! Yeye akiwa anatumia yangu mi

natumia yake! Wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! Nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. Funga na wewe yako''!

Niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! Mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... Eti tuko mjini hapa!!!

Mwenzenu nimechanganyikiwa!!! Nahisi kunyang'anywa tunda langu''......

Wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. Yamemkuta ya kumkuta. Hajui afanye nini ndugu zangu!! Ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!

aliwa nje huyo mkuu hakuna swali limgine chukua cmu tumbukiza chooni then mlambe vobao vya kueleweka mnunulie ingine na asiweke lock kesi kwisha
 
Kama simu ni yake huna la kufanya ni yake.Labda swala la kukujibu jeuri ama vp. Ila msemo unasema Innocent until proven guilty. Kama huna ushahidi wa kumkata basi huo ni wivu tu unakusumbua na ni kipindi cha mpito mwishowe utaisha tu.Lakini jitahidi kupata ukweli kuliko kujiumiza kwa mawazo ya nadharia bila ushahidi.
 
mimi kama "n'zagamba ya miso gaza" siwezi kuchunguza simu ya my wife, ila nyumbani kwangu kuna panga mbili moja ni yangu tu na nyengo ila ya kigogo nikiona namashaka na simu yake naye huwa anajua kuwa leo dume la nyani litakula maini ya mtu atajibu maswali yote na na- cross check hiyo namba kama amenidanganya kazi inaanzia hapo, maana kwangu uongo=cheating
mkuu umeandika manini hapo?
 
''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!

sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!

toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa

akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi

natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!

niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!

mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......

wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. yamemkuta ya kumkuta. hajui afanye nini ndugu zangu!! ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!

wewe si rafiki yako tena wewe ndo wa kwanza kuambiwa? tueleze ulimshauri nini kwanza?
 
kama mlikuwa mna share simu na sasa hataki lazima kuna kitu anaficha. Mi nakushauri usimfuatilie kuhusu simu yake kabisaaa, kwani yeye anakufuatilia? kama anakufuatilia mwambie akome halafu kama mambo mengine yanakwenda poa endeleeni kushirikiana hayo mengine.
 
Miezi sita tu??? Unakazi mzee, pole sana! Tatizo unamtetemekea sana ndio maana anaona wewe ndiye utakayepata hasara ndoa ikivunjika. Usishangae ukikuta kakusave ----- kwenye contact zake.
 
Back
Top Bottom