kama angekuwa amei-lock simu yako hapo ningemuona huyo mwanamke ni mkorofi na ana matatizo,lakini kama ka-ilock tu simu yake wewe tatizo lako nini?
Kama unaona haujatendewa haki,basi na wewe ilock ya kwako ili ngoma iwe draw.
By the way,ile kuhisi tu kuwa mkeo ana mahusiano mengine,ni dalili ya wazi kuwa unajua haumtoshelezi mkeo,hivyo kabla haujaanza kudeal na matokeo ya tatizo anza kwanza na chanzo cha tatizo ambacho ni wewe,mtosheleze mkeo na hatapata ata muda wa kutamani huko nje.