'' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

'' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

Cheating ni ugonjwa mbaya kwenye ndoa,lakini madaktari na wauguzi wake ni wanandoa wenyewe!!
 
Achana Na mambo hizi, yule nguli wake toka nje amewasili Na si unajua alikuwa mwanadani wake sana, Sasa hataki kumpotezea Kwa but-but anamset-set Na kumchengachenga but serious ameshamgawia Na kitu hiyo iko ivo Cha maana we achana Na mawazo hiyo Tumia muda wako Mwingi kufanya HESABU

mkuu hizi ndoa za kukutania barabarani ni mbaya sana!!

madhara yake ndo haya!
 
na wewe weka lock ngoma droo?

mkuu upande mmoja ndio unaonewa!

sidhani kama itakuwa busara na yeye ku-lock simu

sasa hapo nani atakaye muokoa mwenziwe?

yeye anachotaka ni kumrudisha mwenzi wake kwenye mstari,

si kumkomoa!
 
Anyway

Uwe mkasa wako wewe au wa rafiki yako...ipo hivi

Simu ni mali binafsi ya mtu na inatumika kuhifadhi vitu vingi sana zaidi ya kutuma au kupokea ujumbe mfupi au kupiga na kupokea

Inawezekana mliaminiana sana mpaka kwenye simu(si mbaya ni sahihi kabisa) na kama umekuta kuna security code it means kwamba kuna personal stuffs zingine ambazo hutakiwi kuziona au kwa kufanya hivyo ni njia pia ya kufikisha ujumbe kwamba hataki tena ushike simu yake

Kwa kukujibu kwa ukali,hapo nae kakosea,cha msingi fanya uchunguz ju ya jambo hilo na utapata tu majibu..ukiona moshi unafuka ujue chini kuna moto.
 
ahsante dada!

you deserve ten pieces of cooked sato!

keep it up!
 
Mapenzi si pesa.... ndio maana mimi nikianza tongoza demu nampa pesa kidogo kidogo sana ili nimpime anachonipendea... Mizinga ikizidi na mapenzi kidogo nasepa Fasta...

Kuna mmoja alishaniambia hapa ukitaka kutmb ni pesa... nikajua si njia yangu
 
......#BasicNeeds ndio zipi hizo....
Hebu ziorodheshe nawewe hapa

basic needs ni pamoja na food, shelter and clothes..

then vitu vingine vitafuata kama kawaida!

hope you are touched!
 
Last edited by a moderator:
Tuache utani,tukifikia hatua hiyo,nachukua uamuzi mara moja.Kila mtu kivyake kwanini niteseke??Hapana aisee..Mateso ya ndani kwa ndani mabaya sana.
 
......Mwambie #RafikiYako , kuna mambo kaacha kumfanyia #Mkewe , sasa kuna mtu #Anamsaidia "kuziba" mapengo...

Aache ujinga, atimize #Wajibu wake kama Mume, na kama alivyofundwa na #Ngariba wake wa Jando.

Kama haelewi somo, tunaye Mzee Dark City hapa kwa #UshauriNasaha kujitofautisha baina ya #Uanaume Vs #Mwanaume .
Kamanda, yawezekana wala sio kukosa kutimiza majukumu, bali upeku-peku na usukununu.... Huwa inakera sana hiyo hali

the trust is out the door

hilo la kumegewa, kuna wengine hata wapewe vipi lazma waonje na nje kidogo kupata shombo ya nje
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Siamini kama kuna mwanamke "mwenye akili timamu" ambaye ndoa yake haina hata mwaka mmoja atatoa majibu kama haya. Labda ndoa yake iwe ni mateso matupu. Hata kama kapata washika dau nje, huwa hawarespond kwa jinsi hiyo kwa mume aisee.......
 
Ukiona manyoya kuku kesha liwa yakhee. Je si ukweli kuwa simu ni personal property?
 
Mbona mambo madogo kama haya wanaume mnalialia hv jamani? Siku ya 1: namuuliza kwa nn umelock simu yako? Atanijibu blah blah. . . .namwamuru unlock simu. Siku ya 2: Kama hajatii nachukua hiyo simu nzima nzima napigisha kwa nguvu kwenye jiwe; then nasubiri reaction. Akinigusa tu nampa vibao viwili vilivyotakata full stop. Mwambie rafiki yako apunguze upumbavu!
 
Tuache utani,tukifikia hatua hiyo,nachukua uamuzi mara moja.Kila mtu kivyake kwanini niteseke??Hapana aisee..Mateso ya ndani kwa ndani mabaya sana.
Excellent! Ndoa ni taasisi kama ilivyo taasisi nyingine kama TRA, TANESCO, WHO, UN, UNFPA, au hata kama ilivyo TZ, KE, UG, USA, nk nk. Viongozi wa taasisi za ndoa wasipokuwa thabiti matokeo yake ni kuanguka kwa taifa nzima! Point!
 
...chunguza unayoyahisi,fuatilia nyendo zake,jenga hoja ktk facts,weka mezani facts kisha fanya maamuzi,ya hivo huwa mazuzu ni rahisi kuyakamata....
 
Nilishasema sitakuja kukagua simu ya mwenza wangu naogopa sana, ya kwangu kuna siku ilishikwa na mambo tele niliona uchungu wake.. ila kwanin aweke security code?? inaongesha hapo kuna kitu live live..
 
Mbona tatzo la huyo jamaa linaendana na id ya mleta uzi?Ok!! huyo jamaa wako anataka nini zaidi?kusoma msg?kuangalia aina
ya watu wanaompigia/anaowapigia? kazi ndogo sana kuna kitu kinaitwa 'hacking'.
 
Back
Top Bottom