'' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,450
Reaction score
17,918
''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!

sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!

toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa

akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi

natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!

niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!

mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......

wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. yamemkuta ya kumkuta. hajui afanye nini ndugu zangu!! ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!
 
Ahaaaaaaa leo ni zamu ya wanaume! Tukilalamika siye tunaambiwa mwanamke pekupeku ana gubu.
Mwiko kupekuwa simu ya mume wako au mpenzi wako!!!
Simu na diary ni personal things!!! lol!!!
Haya wanaume mpooooooo........
 
''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!

sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!

toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa

akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi

natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!

niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!

mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......

wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. yamemkuta ya kumkuta. hajui afanye nini ndugu zangu!! ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!

......Mwambie #RafikiYako , kuna mambo kaacha kumfanyia #Mkewe , sasa kuna mtu #Anamsaidia "kuziba" mapengo...

Aache ujinga, atimize #Wajibu wake kama Mume, na kama alivyofundwa na #Ngariba wake wa Jando.

Kama haelewi somo, tunaye Mzee Dark City hapa kwa #UshauriNasaha kujitofautisha baina ya #Uanaume Vs #Mwanaume .
 
Last edited by a moderator:
......Mwambie #RafikiYako , kuna mambo kaacha kumfanyia #Mkewe , sasa kuna mtu #Anamsaidia "kuziba" mapengo...

Aache ujinga, atimize #Wajibu wake kama Mume, na kama alivyofundwa na #Ngariba wake wa Jando.

Kama haelewi somo, tunaye Mzee Dark City hapa kwa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=ushauri]#ushauri Nasaha[/URL] kujitofautisha baina ya #Uanaume Vs #Mwanaume .

#ushauri mzuri mkuu!

kwa jinsi kijana mwenzangu anavyolalamika, ni kwamba yeye basic needs zote anatoa..

luxury needs zote anatoa kadri awezavyo japo si kwa asilimia 200!

sasa anashindwa kuelewa kwanini mke anataka kuwa gube gube!
 
......#BasicNeeds ndio zipi hizo....
Hebu ziorodheshe nawewe hapa
 
#ushauri mzuri mkuu!

kwa jinsi kijana mwenzangu anavyolalamika, ni kwamba yeye basic needs zote anatoa..

luxury needs zote anatoa kadri awezavyo japo si kwa asilimia 200!

sasa anashindwa kuelewa kwanini mke anataka kuwa gube gube!

Hivi ukiprovide needs+ luxury things pekee ndo zitazuia cheating??
 
''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!

sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!

toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa

akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi

natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!

niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!

mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......

wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. yamemkuta ya kumkuta. hajui afanye nini ndugu zangu!! ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!
Achana Na mambo hizi, yule nguli wake toka nje amewasili Na si unajua alikuwa mwanadani wake sana, Sasa hataki kumpotezea Kwa but-but anamset-set Na kumchengachenga but serious ameshamgawia Na kitu hiyo iko ivo Cha maana we achana Na mawazo hiyo Tumia muda wako Mwingi kufanya HESABU
 
!
!
umesoma hisabati?......unalet tu hapo kuwa kulock simu=to cheat,halafu fanya maamuzi acha kulalamikalalamika hapa
 
ahsante mkuu kwa ushauri!

si unajua tena elimu zetu hizi za BRN ndugu!

kipendacho roho nacho hakiulizi wapi penye kosa!
 
Cheating ni janga sugu la wazawa hata kwenye biblia lipo! Wanaume ishini na wake zenu kwa akili!!
 
Cheating hata mitihani ya vidudu ipo!! Mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!!

tumshauri mwenzetu mkuu.. hii cheating sasa ni ya kulazimisha kabisa!!!!

halafu ina dharau nyingi sana ndani yake..!
 
Back
Top Bottom