Mke wangu ame hack simu yangu

Samsung kaka
Aah kama unatumia Samsung (ingawa ina fuction kwa Android phone)
Hasa series za S. Mtu aliekaribu na wewe anaweza kusoma text zako, kuangalia picha za simu na pia ku mirror screen yako akaona kila unachofanya ( hii mirroring sasa hivi ina limitation lakini yawezekana mtu akiwa karibu)

Kwenye Samsung kuna features inaitwa LinktoWindow
Kama feature hii iko on, ingia kwenye setting, angalia iko connect na computer gani,

Mtu akiconect kwenye computer anaweza kukufatilia na kuona kila text inayoingia na call, pale tu unapowasha data.
 
Ok Asante kaka, nitafatilia perpendicular
 
Mkuu hivi WhatsApp mtu anaweza hack akasoma msgs? Niliskia kwa WhatsApp huwa haiwezekani
 
Mwambie utamshtaki Kwa Kuingilia Mawasiliano yako Binafsi
 
Mkuu hivi WhatsApp mtu anaweza hack akasoma msgs? Niliskia kwa WhatsApp huwa haiwezekani
Ku hack kuna namna nyingi, ukiniachia simu yako, nika scan whatsApp yako, na kama hauko makini ni rahisi tu, nakua naona kila kitu kwenye whatsApp web
 
Amehack? !!!
How is this possible? Sio rahisi ujue....neno hacking huwa sijui mnalichukuliaje mjue.
Okay huoni anakusaidia maana yake uache umalaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…