Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,184
Nunua simu ndogo uwe unaacha ofisini, au kama ulikuwa naye dem mmoja tafuta wengine 7 na wa uingo humohumo, ataacha mwenyeweMke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje?
Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi...
ni noma sana.Jamani😅😅😅🙌
kwakweli inasikitisha sanani noma sana.
Sio mtaalam sn wa hayo mambo ila tafuta wajuzi watakusaidia mkuuIvi Application nzuri ya kuhack ni ipi na mimi ni mhack
tunateswa na mengi dahkwakweli inasikitisha sana
Huyo ungemuoa yeyeMimi nilikuwa na mchumba mkoa wa mbali na ninapoishi, kilichotokea demu akawa ananipa stori za kujua kila ninachofanya, na kweli unakuta nina appointment na demu mwingine then huyo mchumba ananipigia na kuniambia nisiende ninapotaka kwenda mana alishajua...
Taratibu brother kakaFlash simu no other way au uza njoo kariakoo nikuuzie simu yenye self defense haiwezi hakiwa hata na IT wa marekani
Vingine ni kujitakia tu,, asa hapo si kurestore tu simu au kubadili basi😃😃tunateswa na mengi dah
Mshitaki mahakamani akajibu mashtaka , ku hack simu ya mtu ni kosa la jinaiMke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje?
hakika.Vingine ni kujitakia tu,, asa hapo si kurestore tu simu au kubadili basi😃😃
Samsung kaka1. Angalia whatsApp web kama iko connect, disconnect.
2. Check your social media for listed active or log devices then consider to Change your social media password and enable 2FA.
3. Be loyal and faithful, Very important.
4. Taja aina ya simu unayotumia nikupe possible ways anazocheck mawasiliano yako kwa normal text
Nomakumbe nini tena jamani😃😃🤔
Mkuu mlimjuaje uyo mtu?Mimi nilikuwa na mchumba mkoa wa mbali na ninapoishi, kilichotokea demu akawa ananipa stori za kujua kila ninachofanya, na kweli unakuta nina appointment na demu mwingine then huyo mchumba ananipigia na kuniambia nisiende ninapotaka kwenda mana alishajua.
Nikaenda mpaka ofisi za mtandao ninaotumia wakaniambia hakuna chochote kwenye simu yangu, nikamtafuta jamaa mmoja mtaalamu wa kudukua, tukadukua namba yake tukakuta anayempa siri zote ni msenge mmoja tulikuwa tunaishi nae geto enzi hizo.
Nilipiga chini wote.