mke wangu alitaka nichoma kisu

mpe talaka na mripoti polisi, yaani dushelele tu ndo akutoe loho?
 
Platinum Post!!

Hapo bold, kwenye hayo Maombi ahakikishe anamhusisha TB Joshua, Mwakasege, Kakobe, Pengo, Shaban Simba na Yohane Mbatizaji. Vinginevyo hilo pepo la mauaji la huyo mama halitokaa litoke.
 
Achana nae haraka, vinginevyo utakuwa mgeni wa Mungu muda si mrefu.
 
inawezekana umemfanyia mkeo mambo mengi ya kuudhi amefika point of no return sasa
 
Platinum Post!!

Hapo bold, kwenye hayo Maombi ahakikishe anamhusisha TB Joshua, Mwakasege, Kakobe, Pengo, Shaban Simba na Yohane Mbatizaji. Vinginevyo hilo pepo la mauaji la huyo mama halitokaa litoke.

Mkuu Eid Mubaraka, waila peke yako tukumbuke yatima
 
Asprin na Erickb52 siuoni UUAJI wa huyu mwanamke bila kuhusisha na TABIA za Mumewe. Angeweza kumuua tu bila kumwambia kama alishapanga Kumuua?..Mwanamke kama amepanga kukuua anakuua vizuri tu bila hata kukuambia na hii inamtoa kwenye makosa..kuliko hii ya kutangaza NIA mapema..Bado nakubali kuwa 'haikuwa njia sahihi ya kusuluhisha matatizo yao' but nakataa kumuita huyu mwanamke ni muuaji in the first place...Jamaa yetu anajua alichomfanya huyu mwanamke!!..Every human being is insane given some times and provokes!
 
Last edited by a moderator:
Kwa tunaongalia Emmanuel TV kesi kama hii mara nyingi unakuta ni mapepo yamemuingia mtu na anaanza kuwa na behaviour za ajabu. Mpeleke kwenye maombi.

Kesi kama hizo mara nyingi mwanaume anakuwa hajakosa. Sasa huyu hajasema kama hamkosei mkewe! Nakubaliana kuwa ndoa imeingiliwa lkn huenda sio mwanamke pekee ndio kavamiwa.
 


All in all,sidhani kama jamaa atkuwa katishiwa ufagio na kuja kuomba ushauri hapa,Au kamzushia mke wake......kwa faida ya nani?
hata tukisikia upande wa pili labda jamaa yeye anamtwanga kila siku,au kamshikia bastola.....all in all ikishafika kutishiana maisha hamna ndoa tena hapo au urafiki hao ni wakutenganishwa
 
SnowBall, mtoa mada anajua ali/nachofanya na ndio maana yuko kimya. Tungeweza kuchagua ushauri mwepesi na kumcondem huyo dada lkn anajua haisaidiii kwani kuna tatizo.

I dare him to leave his wife, maana najua hawezi coz mkewe si mbaya/mkorofi kama anavyompotray humu.

 
Last edited by a moderator:
Kesi kama hizo mara nyingi mwanaume anakuwa hajakosa. Sasa huyu hajasema kama hamkosei mkewe! Nakubaliana kuwa ndoa imeingiliwa lkn huenda sio mwanamke pekee ndio kavamiwa.

Hilo nalo neno, maana imeongelewa upande mmoja tu.
 
Hakuna kosa lolote lile alifanyalo binadamu ambalo adhabu yake ni kuuwawa.
 
Ndiyo ninachosema, i also dare him to sue his wife,if he thinks that was a mere murder attempt!

 
Unazijua HASIRA babu? ...Usipimie 'reaction' ya mtu anayehisi unamfanya kama mtoto mdogo.....anything can happen bro!

Hakuna kosa lolote lile alifanyalo binadamu ambalo adhabu yake ni kuuwawa.
 
Unazijua HASIRA babu? ...Usipimie 'reaction' ya mtu anayehisi unamfanya kama mtoto mdogo.....anything can happen bro!
Mkuu hebu angalia hii makitu:
1. Alishawahi mwambia kuwa atamuua kwa kisu au sumu
2. Akatoka huko atokako na kisu chake kibindoni kwenda kuua
3. Pamoja na kuhakikishiwa kuwa anachotuhumu si sahihi, bado mlango ukafungwa na akataka kumshindilia mijisu.

Najua kuna hasira, lakini huu ni mpango mahususi wa mauaji, bila kujali kisingizio wala hasira.
 
Pole sana. Kuna vitu ambavyo wewe ulishashindwa kuvitamua kwa mkeo.
  1. Mkeo ni mwaminifu, inavyoonekana
  2. Ni mtu ambaye ukweli nmnaonekana kuwa na maisha mazuri yenye kupendeza machoni pa jamii na kwa Mungu
  3. Mnaelewana sana pindi mnapokuwa hamjagombana
  4. Ila wewe kama mwanaume, inavyoonekana mkeo anaongozwa na makundi ya nje
  5. Jaribu uperuzi rafiki zake ni akina nani? Na pia angalia rafiki zako wa kiume wenye kueweza kuongea na mkeo
  6. Kaa naye chini umuulize alikoyatoa hayo maneno. Mbembeleze kabisa akueleze ukweli
  7. Akisha kuambia ukweli wa hayo maneno yanakotoka basi wewe ndiye utakayejua jinsi ya kumueleza ili asirudie tena hiyo tabia.
  8. Mi navyoona ukulipatia ufumbuzi suala hili la habari za nje kwa mkeo ndiyo mtajenga maisha yenye maelewano ktk kipindi chote cha ndoa yenu.
 
Hama nyumba haraka iwezekanavyo. Mali yako ni mali bana.
 
 
Platinum Post!!

Hapo bold, kwenye hayo Maombi ahakikishe anamhusisha TB Joshua, Mwakasege, Kakobe, Pengo, Shaban Simba na Yohane Mbatizaji. Vinginevyo hilo pepo la mauaji la huyo mama halitokaa litoke.

Haahahahahaaaa Asprin huyo mchanganyo mbona noma dah
 
Last edited by a moderator:
Dah SnowBall km jamaa asingekomaa unadhani angepona? Siangeshauawa? Unawezake kisema huyo mwamamke sio muuaji?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…