Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

watu kama hawa wastukize safari wallahi hakubali utasikia nipe muda bwana nijiandae, masaa mawili au matatu yatanitosha, wakati mimi na Lupita tunatumia dakika chache sana kujiandaa na tunatumia vipodozi vya ukweli zaidi yao
 
Wanawake wa mjini hao, sie wa shamba hatuwawezi hao
 
Suprise,

mwanamke wa hivyo ni simply an 'attention seeker' ni 'maji mara moja' ni wale wanapenda kusifiwa kapendeza na maneno kedekede..ila walai vile hata asifiweje, nina uhakika 99.99901%, msifiaji anafanya hivyo kwa lengo moja tu, ni rahisi kumtongoza akagegede kisha aanze kumponda after that!

I highly doubt kuna mwanaume anaruhusu (na kufurahia) mkewe atoke nyumbani asubuhi akiwa hivyo...

Kama hilo linajustify kuitwa ndumi la kuwili well and good..kugegeda kwanza mengine baadaye -very focused creatures we are!

Halafu mimi sio #teamBazazi Cc: mwallu

Waelezee maana naona wamejitune kutokuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kutojiamini.
Wengi watembea uchi hawajiamini kuwa ni wazuri au wanapendwa hadi wajitokeze na mambo ya ajabu
 
mke ni mke kama umempenda utaishi nae, ila kwa wale njiwa wenye kupenda vya mbali ndo hao ambao hawa baki njia kuu na hzo ni shida zao
 
Jini aliyetengenezwa na nduki
 
Last edited by a moderator:
haya mambo yapo tangu enzi na enzi, acheni wanawake wajirembe....taste yako ni tofauti na mwingine. vipi hawa hapa chini unawaonaje??

145522631679586908_bmAPnCFk_c.jpg
images

200blw6.jpg

Huyu wa mwisho inakuwaje kuhusu denda?
 
60.jpg


Mungu alikuwa na makusudi kutupatia kope, na kucha nzuriiii! tulizoea kuona picha za mashetani wana makucha marefuuuu...sasa cjui hawa wanaiga ushetani!

'...ana kucha nzuri sana wish kama zingekuwa real nimependa kucha zake,cute'
 
Back
Top Bottom