Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

Wanawafuata hao just for funy wakitambua fika kuwa wameacha wa kufa na kuzikana nyumbani, sasa ukianza kuiga muonekano wa hayo majini unaonekana ni walewale wa kutembeza bidhaa mtaani, hapo ndo mwanzo wa matatizo sababu haya mavitu ukiyaendekeza yatakuchukulia mda mwingi na kuvunja ratiba za kifamilia. Utashinda saloon saana, kuweka kope, kutinda nyusi, kusuguliwa gaga, kubandika minywele, kubandika kucha. Baada ya hapo no kufua, kupiga deki, kuosha vyombo kila kitu anafanya Mekyuri(Hg). What next? Mzee ananogewa na huduma za mekyuri anamtunuku vimpasavyo mke aliyegeuka kuwa jini. Sijui baada ya hapo utaanza kuiga tena mienendo ya mekyuri?

Kuwa mwanamke mwenye tabia za kuwa mke. Usifanye mambo kupita kawaida ya mwanamke anayopaswa kufanya. Watengeneza kope wengi hawaolewi wanaishia kuchezewa na wakware wenye wake zao na wakiolewa ndoa hazidumu, muulize mama klish wa bongo movie.

What do you mean for funny?!! Nina uhakika kama hupendi kitu hutakitaka even for funny. Ndio maana Suprise kasema wanaume ni ndumilakuwili. Thats very true, haiwezekani unachukia kitu at the same time ukakihitaji kwa burudani. % kubwa huwa hamjui mnataka nini...
 
Tamaa na uroho ndio kinachotukaba. Tunapenda kutest utamu wa upande wa pili but haimanishi ndo unafika mazima ingawa kuna uwezekano pia wa kupotelea hukohuko. Na sikatai kuwa hatutabiriki na hilo lisikufanye uyumbeyumbe. Ndoa husimamishwa na mwanamke si mwanaume. Mwanaume ni mtimizaji wa majukumu ya familia. Ukifuata kila anachokitaka mwanaume utaumia. Fikiria ukipata fununu kuwa mumeo juzi alibeba changudoa, je nawewe utaenda kujiuza ili uopolewe na mumeo?
 
hao mnaowaita majkini mbona mnawakimbilia, wanaume bhana, ukiwafatilia watakavyo utakua kichaa, upo ndani as wife hujichubui utaona mumeo bize kufata majini mtaani, ohooo kumbe mume wangu anataka hivi basi ngoja na mimi nikaweke nimpendezeshe mume, ohooo mke wangu umekua jini, mwatakani ninyi viumbe, mbona ndumilakuwili

Teheeeeee.. Tunasemagaaaa, do as i say, not as i do.
 
hao mnaowaita majkini mbona mnawakimbilia, wanaume bhana, ukiwafatilia watakavyo utakua kichaa, upo ndani as wife hujichubui utaona mumeo bize kufata majini mtaani, ohooo kumbe mume wangu anataka hivi basi ngoja na mimi nikaweke nimpendezeshe mume, ohooo mke wangu umekua jini, mwatakani ninyi viumbe, mbona ndumilakuwili

A wapi...hawafuatwi kwa make ups zao..ni vile tu ni easy lays...!!!!
 
Wasanii wengi wa bongo wanaishi kisanii, wanalia kisanii, wanaongea kisanii, wanakula kisanii, wanatembea kisanii. Kila kitu kwao ni usanii mtupu. Kila kitu ni usanii mtu. Inawezekana hata naniliu zao ni za kisanii.

Hata misibani wanazimia kisanii
 
Unaambiwa licha ya kualibu ngozi, kumbea inaathili mbaka Mfumo wa uzazi na hata joto lako la kawaida. Wanajasho hao......
 
What do you mean for funny?!! Nina uhakika kama hupendi kitu hutakitaka even for funny. Ndio maana Suprise kasema wanaume ni ndumilakuwili. Thats very true, haiwezekani unachukia kitu at the same time ukakihitaji kwa burudani. % kubwa huwa hamjui mnataka nini...

shangaa nawewe, mi ndo maana nasema marufuku kufanya kitu koz of men labda kiwe kinakuburudisha mwenyewe, ni ndumilakuwili balaa, mahitaji yao yanabadilika kwa sekunde
 
Wanafukia mashimo pale wanapoona pana kasoro wanajaribu kurekebisha .
Lakini kama mwanaume hapendi haya ma make up anatakiwa aseme kuwa mama hebu punguza! wanawake ni waelewa kwasababu yeye anajua anafanya yote kwaajali yakumkeep huyo mwanaume .Sasa kama anataka kuwa nae na mwanaume kashasema apunguze atapunguza tuu
 
daaaah kuna watu hata ajichore chore vipi bado mzuri tu. [/IMG]
images

200blw6.jpg
huyu mwenye Domo Zege ndo kaniacha hoi kabisaa ahahahah
 
maana yake easy lays pls

Team B bhana
Suprise,

mwanamke wa hivyo ni simply an 'attention seeker' ni 'maji mara moja' ni wale wanapenda kusifiwa kapendeza na maneno kedekede..ila walai vile hata asifiweje, nina uhakika 99.99901%, msifiaji anafanya hivyo kwa lengo moja tu, ni rahisi kumtongoza akagegede kisha aanze kumponda after that!

I highly doubt kuna mwanaume anaruhusu (na kufurahia) mkewe atoke nyumbani asubuhi akiwa hivyo...

Kama hilo linajustify kuitwa ndumi la kuwili well and good..kugegeda kwanza mengine baadaye -very focused creatures we are!

Halafu mimi sio #teamBazazi Cc: mwallu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom