Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

Mke wako akiwa hivi au mchumba utafanyaje?

Suprise,

mwanamke wa hivyo ni simply an 'attention seeker' ni 'maji mara moja' ni wale wanapenda kusifiwa kapendeza na maneno kedekede..ila walai vile hata asifiweje, nina uhakika 99.99901%, msifiaji anafanya hivyo kwa lengo moja tu, ni rahisi kumtongoza akagegede kisha aanze kumponda after that!

I highly doubt kuna mwanaume anaruhusu (na kufurahia) mkewe atoke nyumbani asubuhi akiwa hivyo...

Kama hilo linajustify kuitwa ndumi la kuwili well and good..kugegeda kwanza mengine baadaye -very focused creatures we are!

Halafu mimi sio #teamBazazi Cc: mwallu

haya nimekusoma team rafiki
 
Tamaa na uroho ndio kinachotukaba. Tunapenda kutest utamu wa upande wa pili but haimanishi ndo unafika mazima ingawa kuna uwezekano pia wa kupotelea hukohuko. Na sikatai kuwa hatutabiriki na hilo lisikufanye uyumbeyumbe. Ndoa husimamishwa na mwanamke si mwanaume. Mwanaume ni mtimizaji wa majukumu ya familia. Ukifuata kila anachokitaka mwanaume utaumia. Fikiria ukipata fununu kuwa mumeo juzi alibeba changudoa, je nawewe utaenda kujiuza ili uopolewe na mumeo?

Kila kitu kina ukomo brother, haiwezekani uwe unabeba changudoa kila mara ukadhani mwanamke ana moyo wa jiwe. Uvumilivu nao una mwisho wake. Na ukweli ni kuwa most of the time mwanaume huchangia mvurugano kwenye ndoa.
 
What do you mean for funny?!! Nina uhakika kama hupendi kitu hutakitaka even for funny. Ndio maana Suprise kasema wanaume ni ndumilakuwili. Thats very true, haiwezekani unachukia kitu at the same time ukakihitaji kwa burudani. % kubwa huwa hamjui mnataka nini...

U'r very right! Hawa viumbe hawajui wanataka nini.....HAWAJISOMI KABISA YAN...
 
Tamaa na uroho ndio kinachotukaba. Tunapenda kutest utamu wa upande wa pili but haimanishi ndo unafika mazima ingawa kuna uwezekano pia wa kupotelea hukohuko. Na sikatai kuwa hatutabiriki na hilo lisikufanye uyumbeyumbe. Ndoa husimamishwa na mwanamke si mwanaume. Mwanaume ni mtimizaji wa majukumu ya familia. Ukifuata kila anachokitaka mwanaume utaumia. Fikiria ukipata fununu kuwa mumeo juzi alibeba changudoa, je nawewe utaenda kujiuza ili uopolewe na mumeo?

Hili nalo nenoo....
 
Suprise,

mwanamke wa hivyo ni simply an 'attention seeker' ni 'maji mara moja' ni wale wanapenda kusifiwa kapendeza na maneno kedekede..ila walai vile hata asifiweje, nina uhakika 99.99901%, msifiaji anafanya hivyo kwa lengo moja tu, ni rahisi kumtongoza akagegede kisha aanze kumponda after that!

I highly doubt kuna mwanaume anaruhusu (na kufurahia) mkewe atoke nyumbani asubuhi akiwa hivyo...

Kama hilo linajustify kuitwa ndumi la kuwili well and good..kugegeda kwanza mengine baadaye -very focused creatures we are!

Halafu mimi sio #teamBazazi Cc: mwallu

Umetoka lini kwenye hiyo team
 
Last edited by a moderator:
She's too much artificial


52.jpg

Ha ha haa...
Umenikumbusha msemo wa "Mr. Bones" na "My King" wake, walikuwa wanashangaa hao, eti "Even this is not real"! Hapa nahisi hata ile kitu ya wakubwa "sio real"
 
Lakin wanaume make mkijua nyinyi ndio source ya mwanamke kubadili mfumo wa maisha,(kuwa fake)maana utakuta wengne wanawasema wake zao kuwa hawapendez wapowapo mpaka anaona aibu kutoka nao,utakuta wanawake wengne wana anza kubadilika ili wamezao wawapende ndio hapo kope na mkorogo utaanza

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kweli hujafa hujaumbika ila hii sio ya huu msemo.
 
anafanana na maimatha wa jesse.au macho yangu yana ugonjwa wa dengue!.

ndo ndie huyoo mama manywele, dukani kwake kuna dawa na vipodozi vya kila aina hata ukitaka vya kupunguza kichwa unapata hahahahha, mai nakupeenda saanaa ila dah mi nipo kama Lupita tuu
 
Back
Top Bottom