Mkorogo umedunda!Bora hajajichubua
haya mambo yapo tangu enzi na enzi, acheni wanawake wajirembe....taste yako ni tofauti na mwingine. vipi hawa hapa chini unawaonaje??
![]()
![]()
![]()
![]()
Mungu alikuwa na makusudi kutupatia kope, na kucha nzuriiii! tulizoea kuona picha za mashetani wana makucha marefuuuu...sasa cjui hawa wanaiga ushetani!
ametokelezea lakini.....
![]()
Mungu alikuwa na makusudi kutupatia kope, na kucha nzuriiii! tulizoea kuona picha za mashetani wana makucha marefuuuu...sasa cjui hawa wanaiga ushetani!
hao mnaowaita majkini mbona mnawakimbilia, wanaume bhana, ukiwafatilia watakavyo utakua kichaa, upo ndani as wife hujichubui utaona mumeo bize kufata majini mtaani, ohooo kumbe mume wangu anataka hivi basi ngoja na mimi nikaweke nimpendezeshe mume, ohooo mke wangu umekua jini, mwatakani ninyi viumbe, mbona ndumilakuwili